I salute u WILLIAM MALECELA,,LE MUTUZ,,Much Respect,,!!!!!!!!!!

Sasha7

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2014
Posts
233
Reaction score
56
Wapi Le Mutuzzzzzzzzzzzzzzzzz..............Popote ulipo tuwasiliane tafadhali.......nakukubali sana na nayakubali sana mapambano yako japo watu wanajifanya kukuponda ila deep inside wanatamani kua kama wewe na wanaitamani sana nafasi yako.........Hongera sana kwa kuweza kucntrol ur tempor especially to Mburulaz,,!!!!!!!!!!!!!

Pamoja Sana Fighter wangu........LE MUTUZ
 
Hehheeehehe ngoja sasa haters wa Le MUTUZ waje
Mzee wa mbebes.......mabebes tunakuita huku
 
Naona umeamua kufunguka! Hongera zako,msubiri anakuja japo bado ana hangover ya sherehe za muungano!
 
Hata mie namkubali sana le mutuz. He has the courage to speak his mind no matter what. That shouldnt be under estimated. Kwa jinsi anavyonyanyuliwa juu juu humu, it takes a special talent to keep going. Alivyomnunia maxence enzi zile nilimkosa sana.
 
Wapi Le Mutuzzzzzzzzzzzzzzzzz..............Popote ulipo tuwasiliane tafadhali.......nakukubali sana na nayakubali sana mapambano yako japo watu wanajifanya kukuponda ila deep inside wanatamani kua kama wewe na wanaitamani sana nafasi yako.........Hongera sana kwa kuweza kucntrol ur tempor especially to Mburulaz,,!!!!!!!!!!!!!

Pamoja Sana Fighter wangu........LE MUTUZ

ohoooioooo umeamua kuweka bayana kuwa umeolewa na le mutuz.na kweli anakukung'uta vizuri hongera kwa kuwa na mwanaume kama le mutuz
 
Jamaa mmoja alioa Mwanamke mzuriiiiii, wakiwa ndani ya Nyumba akamwita mkewe akamwambia Nina Habari mbili Nataka kukueleza ILA moja ni nzuri na nyingine ni mbaya, chagua nianze kukuambia ipi.
Mke: Anza na nzuri
Mme: Nina uume wa inch kumi na moja na ni mnene....
Mke: ooghh MUNGU anipe nini, I knew nilifanya the right choice. Haya niambie na hio mbaya sasa.....!
Mme: Huwezi amini dude lote hili lakini halifanyi kazi.......

long live Le Mutuz.....
 
Huyu dingi ana aina yaje ya maisha na ni bora watu wamheshimu the way alivyo...

Mbona wakina Hugh Hefner wanaheshimika pamoja na vituko wanavyofanya...

When it come to politics hapo ndio huwa wanaJamii wanachanganyikiwa na huyu jamaa,and ofcourse he speak his mind...
 
Hata mie namkubali sana le mutuz. He has the courage to speak his mind no matter what. That shouldnt be under estimated. Kwa jinsi anavyonyanyuliwa juu juu humu, it takes a special talent to keep going. Alivyomnunia maxence enzi zile nilimkosa sana.

I like this man for sure he speak his mind na ata atukanwe vp he Still manage to control his tempor
 
Huyu dingi ana aina yaje ya maisha na ni bora watu wamheshimu the way alivyo...

Mbona wakina Hugh Hefner wanaheshimika pamoja na vituko wanavyofanya...

When it come to politics hapo ndio huwa wanaJamii wanachanganyikiwa na huyu jamaa,and ofcourse he speak his mind...

I like Le MUTUZ sana tuuuuuuu.......wachache sn wenye uwezo wa kuspeak their minds kama yeye...........
 
Back
Top Bottom