Hehe hee le mutuz mbebes huyo kakudondokea
Heheheh Umeona eh.......
Hehe hee le mutuz mbebes huyo kakudondokea
Yaani ashindwe yeye tú........ila tusimfikirie vibaya huenda anapenda tu mbwembwe za le MUTUZ systemYaani huyu kashajilipua Kazi kwake le mutuz
Yaani ashindwe yeye tú........ila tusimfikirie vibaya huenda anapenda tu mbwembwe za le MUTUZ system
Wapi Le Mutuzzzzzzzzzzzzzzzzz..............Popote ulipo tuwasiliane tafadhali.......nakukubali sana na nayakubali sana mapambano yako japo watu wanajifanya kukuponda ila deep inside wanatamani kua kama wewe na wanaitamani sana nafasi yako.........Hongera sana kwa kuweza kucntrol ur tempor especially to Mburulaz,,!!!!!!!!!!!!!
Pamoja Sana Fighter wangu........LE MUTUZ
Yaani huyu kashajilipua Kazi kwake le mutuz
Attention seeking?
Hata mie namkubali sana le mutuz. He has the courage to speak his mind no matter what. That shouldnt be under estimated. Kwa jinsi anavyonyanyuliwa juu juu humu, it takes a special talent to keep going. Alivyomnunia maxence enzi zile nilimkosa sana.
Huyu dingi ana aina yaje ya maisha na ni bora watu wamheshimu the way alivyo...
Mbona wakina Hugh Hefner wanaheshimika pamoja na vituko wanavyofanya...
When it come to politics hapo ndio huwa wanaJamii wanachanganyikiwa na huyu jamaa,and ofcourse he speak his mind...