I like this man for sure he speak his mind na ata atukanwe vp he Still manage to control his tempor
Huyu ni muuzaji tu shida mtu anayetaka kumuuzia ni kapuku tu kama mimi ilichobaki kukopwa
le mutuz anajitekenya mwenyewe kwa multiple IDs...
Aje tú ndio namsubiriNaona umeamua kufunguka! Hongera zako,msubiri anakuja japo bado ana hangover ya sherehe za muungano!
ohoooioooo umeamua kuweka bayana kuwa umeolewa na le mutuz.na kweli anakukung'uta vizuri hongera kwa kuwa na mwanaume kama le mutuz
Wapi Le Mutuzzzzzzzzzzzzzzzzz..............Popote ulipo tuwasiliane tafadhali.......nakukubali sana na nayakubali sana mapambano yako japo watu wanajifanya kukuponda ila deep inside wanatamani kua kama wewe na wanaitamani sana nafasi yako.........Hongera sana kwa kuweza kucntrol ur tempor especially to Mburulaz,,!!!!!!!!!!!!!
Pamoja Sana Fighter wangu........LE MUTUZ
Le mutuz tatizo lake misifa inamchanganya,,,subiri atakuja na singo ya kujifagilia[/QUOT
Hana sifa ila anazungumza ukweli.......by the way sifa zake ndizo zinazonikosha
Unaweza kuwa na tabia ya kujipendekeza kwa viongozi na matajiri kama Le Mutuz?
kwakuwa mimi sijaelewa ngoja nipite tuWapi Le Mutuzzzzzzzzzzzzzzzzz..............Popote ulipo tuwasiliane tafadhali.......nakukubali sana na nayakubali sana mapambano yako japo watu wanajifanya kukuponda ila deep inside wanatamani kua kama wewe na wanaitamani sana nafasi yako.........Hongera sana kwa kuweza kucntrol ur tempor especially to Mburulaz,,!!!!!!!!!!!!!
Pamoja Sana Fighter wangu........LE MUTUZ
Hahahaha usilie mkuu kila mtu na bahati yakeMbona me sipati hizi zali? Ngoja niweke mali zangu hadharani sasa..
kwakuwa mimi sijaelewa ngoja nipite tu
Hahahaha usilie mkuu kila mtu na bahati yake
Unaweza kuwa na tabia ya kujipendekeza kwa viongozi na matajiri kama Le Mutuz?
Zangu zinachelewa sana mpaka nitazeeka. Hebu nifanyie mpango na mie nifaidi hizi bahati.