Hahhaahhahaaha.........!!!!!!!!Le Mutuz mupe mambo huyoooo kajileta mwenyewe kama mududu anayeifuata taaa
I like Le MUTUZ sana tuuuuuuu.......wachache sn wenye uwezo wa kuspeak their minds kama yeye...........
Wapi Le Mutuzzzzzzzzzzzzzzzzz..............Popote ulipo tuwasiliane tafadhali.......nakukubali sana na nayakubali sana mapambano yako japo watu wanajifanya kukuponda ila deep inside wanatamani kua kama wewe na wanaitamani sana nafasi yako.........Hongera sana kwa kuweza kucntrol ur tempor especially to Mburulaz,,!!!!!!!!!!!!!
Pamoja Sana Fighter wangu........LE MUTUZ
Your ID, join date.....*sniff*... *sniff*....fishy! :loco:......Whats your original ID dude?
nashindwa kucomment coz sijajua jinsia yakoWapi Le Mutuzzzzzzzzzzzzzzzzz..............Popote ulipo tuwasiliane tafadhali.......nakukubali sana na nayakubali sana mapambano yako japo watu wanajifanya kukuponda ila deep inside wanatamani kua kama wewe na wanaitamani sana nafasi yako.........Hongera sana kwa kuweza kucntrol ur tempor especially to Mburulaz,,!!!!!!!!!!!!! Pamoja Sana Fighter wangu........LE MUTUZ
huyu jamaa anachoniboa ni kua ajheshmu anapga pcha za utupu na machangu na punda za mjin....yaan hana dsplne na anataka kufanya poltcs wakat matendo yake hayafai....umr umemtupa bt anaish kama kijana wa 20's
Hata mie namkubali sana le mutuz. He has the courage to speak his mind no matter what. That shouldnt be under estimated. Kwa jinsi anavyonyanyuliwa juu juu humu, it takes a special talent to keep going. Alivyomnunia maxence enzi zile nilimkosa sana.
le mutuz anajitekenya mwenyewe kwa multiple IDs...
Utamjua tu siku moja.mbona mi simjui huyo Le Mutuz
Your ID, join date.....*sniff*... *sniff*....fishy! :loco:......Whats your original ID dude?
Kiboko! Anajipigia mapromo nini mkuu?
mbona mi simjui huyo Le Mutuz
kujisifia mwenyewe kwa id ingine ni use..n..g....e. ile id ya field marshall umeachana nayo?Wapi Le Mutuzzzzzzzzzzzzzzzzz..............Popote ulipo tuwasiliane tafadhali.......nakukubali sana na nayakubali sana mapambano yako japo watu wanajifanya kukuponda ila deep inside wanatamani kua kama wewe na wanaitamani sana nafasi yako.........Hongera sana kwa kuweza kucntrol ur tempor especially to Mburulaz,,!!!!!!!!!!!!!
Pamoja Sana Fighter wangu........LE MUTUZ
Ni mtoto wa waziri mkuu mstaafu John Samweli Cigwyemisi Malecela aitwaye William John Malecela. Humu JF anatumia ID ya W. J. Malecela
Umeelewa sasa?
Utamjua tu siku moja.
Ni mtoto wa waziri mkuu mstaafu John Samweli Cigwyemisi Malecela aitwaye William John Malecela. Humu JF anatumia ID ya W. J. Malecela
Umeelewa sasa?
asante nimeelewa