Hapo chacha.........
Habari Ndugu zangu Naitwa Emanuel Natafuta kazi Nimesoma mambo ya IT KWA level ya certificate'

ila kweli wale wachina mliowajaza wanajua kingerezaa? Acheni roho mbaya ..ila wabongo wezi ukimwajiri tu anakuibia.
I seek for job/work in Computing & Information Technology
I have professional skills in:
Network Installation Repair and Maintenance
Computers Repair and Maintenance
Graphics Design
Web Design
Database
0718888656 or 0752507004
giftkiwelu@yahoo.com
Ndugu Gyft;
Ni kweli Kiingereza si kigezo kabisa cha uwezo wa mtu kufanya kazi lakini uwezo wa mtu kujieleza kwa ufasaha ni alama tosha kuwa anaweza hata kupangilia mawazo yake vema katia ufanyaji kazi. Hivyo unapoandika I seek job and I have professional skills, inampa mwajiri kazi ya ziada kuwaza je akiajiriwa na nikiwa nampa maelekezo kwa lugha ya kiingereza (ambayo makampuni mengi na taasisi za serikali zinatumia) ataelewa na ataripoti ipasavyo?
Kuna makala moja ameandika mmiliki wa kampuni ya kutengeneza programu za kompyuta na vifaa vya teknolojia ameandika 'Why I dont hire candidates with poor writing skills" Ndani ya makala hiyo ameeleza kuwa umakini wa mtu kuandika sentensi fasaha, na kukumbuka hata kuweka nukta panapostahili ni alama ya umakini wake. Hivyo hivyo uzembe wa kuandika, kujieleza basi mtu huyo anaweza akawa mzembe na kupuuzia vitu akiwa kazini.
Jukwaa hili linasomwa na waajiri wengi - sasa mtu ukisema ninatafuta kazi nimesoma IT? kweli kuna atakayejishugulisha na wewe? Bora ungesema, Ninatafuta kazi , nimemaliza shahada ya ICT chuo fulani mwaka fulani. Nimewahi kufanya kazi ya ( programming in PHP, Phython), nina uelewa wa kati katika database za SQL, dBase, etc na uelewa wa programu za kutengeneza website kama dreamweaver, .NEt nk.
Sasa gyft kujieleza kiufasaha tu ni tabu - ni nani unafikiri atachukua burden ya kuuliza yote hayo. Kwa mtaji hii tutegemee wakenya wazidi kujaa na tusithubutu kulalamika maana hata vya muhimu hatutaki kufanya. Utaona watu wanapost "mshahari wa Bank officer ni sh ngapi?", wakati hata kazi hana
TUBADILIKE ili tusonge mbele wadogo zangu.
safi sana na ahsante sana kwa ushauri wako, na elimu yakonaamini nimekuelewa, na nimejifunza kitu,
wote wangekuwa wanafundisha kama hivyo tungekuwa mbali sana ila wengi wetuni wapondaji tu
Thanks bro,that was more than nice.In one week's time I will post something on writing skills,proof reading and other importatnt issues for employees and those who are expecting to be employed.Just like how important the first impression is in interviews,what we write,how we write ,and how we arrange the contents of our message give more information about who we are.When you keep quite,people may not know who you are,when you start talking or wrting ,you start giving information about you,good or bad.Ndugu Gyft;