Ujengelele
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 1,253
- 22
Nawaambieni ni kinyume na asili ya binadamu kufungamana na mtu mmoja tu kwa milele. Binadamu tumeumbwa na matamanio yasiyo na kikomo. It's almost impossible to be monogamous.......
for the love of money hio mkuu.mama alikuwa na malengo yake lol......sasa kweli mtu na akili yako timamu unakubali kuolewa na mtu aliye taliki(wa) mara 6