I surrender kabisa

Pole dada.
Kutendwa kwenye mapenzi ni jambo la kawaida. Mimi Bwana Pendapenda ndiyo nina mkosi kabsaaaa!!. Kila mwanamke ninayeanzisha naye mahusiano baada ya siku 2 tu ananifungia vioo, namba zangu wanafuta na meseji hawajibu.

Mbaya kuliko zote juzi kati kuna mwanamke kaniomba simu yangu halafu akafuta namba yake. Akaniambia "namba yangu nimeifuta kwenye simu yako, halafu tuone kama utanisumbua"
 
Hahahaha we nae ni mzembe unaachaje kukalili namba ya mpenzi wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…