I surrender kabisa

Tofauti ya kuwa msomaji wa jamii forum sintokaaa kuanzisha mada yeyote especially kimapenzi .

Nitakuwa na changia mada tena ikinibidi kuna kitu kimenitokea thats why.
Good day
inaonekana mapenzi yanakutesa sana,,,,!!!

mi nipo nitakufanya usahau yaliyopita na kujiona mpya.

I promise, you will never regret ma dear!!!
 
Tofauti ya kuwa msomaji wa jamii forum sintokaaa kuanzisha mada yeyote especially kimapenzi .

Nitakuwa na changia mada tena ikinibidi kuna kitu kimenitokea thats why.
Good day
Ukwapi...😋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…