I SUSPECT my wife of having an affair with another woman.

Hahahahaha! Khaa!

I love this post!
Ribosome, you are a great thinker. Salute!
 
Last edited by a moderator:

Red; Sumu haionjwi kwa kulamba mkuu..........utaumia mchana kweupe wewe

Blue;Yaweza kuwa ya wanaume wawili na mwanamke mmoja as well.......mbado kuona!!!! Kusikia Je????
 
Huyo unayechart nae ni mwanaume mwenzio..pole sana..
 
Red; Sumu haionjwi kwa kulamba mkuu..........utaumia mchana kweupe wewe

Blue;Yaweza kuwa ya wanaume wawili na mwanamke mmoja as well.......mbado kuona!!!! Kusikia Je????
 
Wadau wengine wanashauri aombe mungu!!!!!!
Wengine eti akusanye ushahidi zaid ya huo!!!!!

1. Mkeo wa ndoa anahusiana na mtu kwa njia ya simu na wewe hii kitu huipendi....inakunyima usingizi na kukupa mental acrobats bila ridhaa yako.....ladha ya maisha inakuwa chungu......eti nikae chini niombe ilhali huyo mpaji ndo kakupa ufunuo na umeona dalili?????? Yaani hapa tena ukae kufunga na kuomba ili iwe nini.........kama anamegwa ufumanie au washindwe kufanya mahaba mwitu yao kwa jina la ..........????? HAPANA

2. La aziz wa ubani wako mlezi wako next to your very mom....kuna mtu anamnyemelea au anamega we uendelee kukusanya ushahidi.......gani kwa mfano??? Na ukishaupata???? Yasemekana mke hachunguzwi unless unataka kumuacha so unataka maegemezi

Hebu wadau wekeni ushauri......i feel terrible and actually m trembling yaani
 
Red; Sumu haionjwi kwa kulamba mkuu..........utaumia mchana kweupe wewe

Blue;Yaweza kuwa ya wanaume wawili na mwanamke mmoja as well.......mbado kuona!!!! Kusikia Je????
LoL,
This is double amazing...

will this be a solution for the sender?
 
thanx alot nimeshaanza kulifanyia kazi hili
 
Na wewe yalishawahi kukuta nini?

Mpeni mwenzenu moyo presha ishuke.
 
what is your point ndugu, am in dilemma too i don't know what to do? pse help me with any appropriate solution
 
Mtafute Joey Greco,atamaliza dukuduku lako.
 
Red; Sumu haionjwi kwa kulamba mkuu..........utaumia mchana kweupe wewe

Blue;Yaweza kuwa ya wanaume wawili na mwanamke mmoja as well.......mbado kuona!!!! Kusikia Je????

That could be a women's dream. For a man, the dream is as mentioned above.
 
LoL,
This is double amazing...

will this be a solution for the sender?
@Paw unangoja nini? Siku hizi umeokoka au umezeeka? Walime ban hao kwa kuandika post zisizo na solusheni. (Hii ya kwangu jifanye hujaisoma, ukishaisoma nambie niidelete kabla mod mnoko RussianRoulette hajanipeleka lupango. Namwogopa sana Babu Seya asee)
 
....Panapofuka moshi......
 
mchunguze mkeo kimya kimya, hizo sms sidhani kama zinajiyosheleza
 
. . . .kuni hazijakauka.

hahahahah lol....Hapakosi moto bana Lizzy....ule msonge uliochukua O'level tunaubadilisha na kuweka B- πŸ™‚πŸ™‚
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…