I SUSPECT my wife of having an affair with another woman.


Asikwambie mtu kuibiwa penzi na mwanamke ni nourrma! Atabaki kua na wewe kwa ajili ya show na matunzo tu lakini malovey davey yooote kwa mwanamke mwenzie! Tena kama bidada anayem-mega yupo tayari anachukua jumla kabisa.
 
Kama uko bongo nenda kwenye mtandao anaotumia lipa chochote utapata sms zote zinazo ingia na kutoka hapo ndio uanze uchunguzi lakini kua na moyo wakiume sababu sio yote yatakayo kufurahisha kwenye hizo sms.
 
You can tell from her first reaction 'Are you accusing me of being lesbian'. You have the answer, play your intelligence and you will get final proof!
 
Pole sana hapo mkeo anachati na mwanaume mwenzako na sio mwanamke mwenzake as u thnk ndugu yangu hapo unaibiwa mzgo wako!
 
Keep thinking ni mwanamke mwenzake!
mwisho wa siku utashangaa mkeo kapigwa mimba!
 
If I were u, threesome a.k.a 3way could be a solution, kaa u r not too much bothered by 'boundness', lakini kama upo ki-monogomous exclusive mkataba wa mke-mme and you really care about that, jua tu things are not the same anymore ktk huo uhusiano wenu. Hiyo ngoma ni lesbianis experience iliokolea tayari. ni kama gasolina imetiwa kwa moto, hata ukasirike uvimbe au ukadhikiri vipi hilo ni skio la kufa..

Nilisoma mahali wanasema lesbianis is much more rampant kuliko downlow kwa sababu ya obvious utani wa kimapenzi wa kike between themselves kuliko wanaume. Hivo utani utani huzaa lesbianis, kama mmoja ni guberi lililokubuhu. kumbuka hata lesboz nao wana mbinu zao za kutongoza wanawake wanaowataka.

Hivo bhana if u ask me my professional opinion, we mkalishe tu mkeo mhakikishie kwa upole in an understanding manner kwa 100% kuwa ume-accept choice aliyoamua kuchukua, muangalie jinsi gani ya ku-part ways.
 

i know her co worker very well( she is a woman) and i even have her phone number, it is the same number that my wife is using to text her! hapo ndo napata mashaka sana abt that woman coz she looks older than my wife, and she was divorced from her first marriage na mpaka sasa hajaolewa yupo yupo tuu
 
isije ikawa ni njemba inayojipa status ya uanamke...nimgekushauri next time usiishie kusoma tu meseji bali hakikisha unaikariri hiyo namba halafu ukishaipata uipige lakini kwa kutumia namba nyingine yaani isiwe namba yako...
 
Chukua hizo NO's then tafuta line nyingine, call the mumbr utasikia saut utapata jibu kama ni KE/ME. Mbona smple sana tu chief.
 
Na wewe yalishawahi kukuta nini?

Mpeni mwenzenu moyo presha ishuke.[/QUOT

Wakati nikiwa boyfriend......sms waeza kuta na kwangu solns were head on confrontations tu ni bora kumuonea kwa hisia kuliko kuja kuokolea nyavuni
 


Mbona mambo ya kawaida sana haya jamani? why so insecure hata na wanawake... any way siri ya mtungi aijuaye kata.
 
Chukua hizo NO's then tafuta line nyingine, call the mumbr utasikia saut utapata jibu kama ni KE/ME. Mbona smple sana tu chief.

namba naifahamu sana na ni ya huyo mwanamke anayefanya nae kazi
 
Wakati nikiwa boyfriend......sms waeza kuta na kwangu solns were head on confrontations tu ni bora kumuonea kwa hisia kuliko kuja kuokolea nyavuni

Baada ya kuwa mume hamna tatizo?
 
Hii stori si yako mkuu. Utakuwa umeinakiri somewhere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…