I SUSPECT my wife of having an affair with another woman.

And do the men expect women to change before the man has to change...
I SUSPECT my wife of having an affair with another woman
....
Yani kichwa cha habari kimeniwacha hoi....sijui mkibaki kushakia shakia mtapata faida gani...we hujuapata uhaika kama mke wako anafanya mabaya ume suspect tu, umekuja nunua kesi je kama huja suspect sijui tuseme nini :laugh:
 
STOP snooping at your wife's phone,,, hii inaonesha jinsi gani haumuamini...... full stop.....
 
Hapo jamaa anatakiwa awe dikteta tu.......amwambie mkewe "kuanzia leo staki mawasiliano wala kusikia jina la huyo rafiki yako.......nikisikia tu I will know what to do!"

Jamani hata kama ni kupenda,basi isiwe mpaka unashindwa kukemea unabaki kulalama tu




 
Dah hapo kaka ngumu kumeza ila pole sana pia mchunguze mkeo kwa makin
 
okey sawa, then nini ushauri wako kwenye tatizo linalonisibu ? maana kule pia nilipost hiyo topic ili kupata ushauri, na sio huko tuu hata in other social networks where i actively participate!

Please accept my apologies if you are also the who posted on the link I provided.
 
Olesaidimu, umeongea, hapa ndio shauri zao wanazotoa, omba mungu, chunguza, mpaka lini...!!! wakati una uhakika 90% kua mali zako zaliwa.
kama ni gud friends, iweje msg zafutwa. mimi nilidhani good friend au best friend wako ni mkeo/mumeo na si vinginevyo. hata kama ni mpenzi wa kiume kwa mfano, siku nzima mnatekstiana nini visivyoisha hadi unamsahau mumeo. maisha haya..!!!

 
Before you continue investigating your spouse have you enquired about the person who could have started this? check in the mirror early kesho morning, he might the source!
When you are certain that you are not the source, sit down and discuss, with the lady you call, laaziz, what effect this relationship has on your person in this relationship.
However, it would be too sad if the person on the other side is a Man

God indeed will see you through this family spring!
 
Now I am convinced that you are not who they say you ar,lol!
What an insight..
 
ikiwezekana chukua hata nr ukol uchek ni mwanamke kweli au.....?pole aisee
 
The heading confuses. Can a woman call her fellow woman a wife? How can your wife have an affair with ANOTHER woman? Simply say your wife has an affair with a woman, thats all.
 
Kaka, usitafute mchawi hapo. Kwanza I assure u, women do say I love and miss u to fellow women, unlike men who can't tell that to each other. Your wife might not be having an affair, but the other woman might be having a hidden agenda. This u can't control, let's concentrate on what u can control.

How many times in a day, week or month do u flirt with ur own wife? Au you are too busy? Give your wife attention and she won't need to enjoy it from elsewhere. And mostly important, before she is swept into the other direction ambayo I promise u Mungu asipoingilia kati hatotoka milele. Kila la kheri
 
naomba unitafsirie kwanza maana nimetoka mweupe..h
 

i like this concept of yours
 

Bora ungeleta hii hadithi kwa Kiswahili bana!
 
Una uhakika kama huyo anayechat naye kutwa kucha ni Mwanamke mwenzie?
Una uhakika kama kweli wanafanya nae kazi?

Hatari mzee!! as well and correctly said by Kongosho, ukiona manyoya probably wamemparura tu, ila jaribio la pili lazima apelekwe pwani. Kwa kuanzia tu, mwambie hizo messeji na tabia za kisagaji unataka zikome mara moja...
 

We ribosome hujatulia. Mwanzo nlidhani mekuelewa, nlivyosoma hadi mwisho nkahisi kupatwa kwa jua
 
Please accept my apologies if you are also the who posted on the link I provided.

Lakini hata hivyo, can you reconcile this:


And this?


Source: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/264327-jamani-msaidieni-happy.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…