I think i'm in love ila sijui nifanyeje?

 
Last edited by a moderator:
nakuunga mkono ndugu, maana hata mm kuna member nampenda humu ndani sema ndiyo hivyo. sielewi kama ni mwanaume au la!
What are you waiting for express your feelings kama Jux alivyo-express feelings zake kwa The Finest
 
Nimetokea kumpenda member wa hapa JF anaitwa The Finest ila tatizo ni kwamba simjui sielewi labda inawezekana akawa ni mume wa mtu vile vile ila kiukweli i have feelings for him ila sijui nianzeje


Umemependa yy ? au avatar yake? hebu tufafanulie kidoooogo......!
 
let the boy absorb the shock kwanza banaa, unadhani kuvunjiwa ukimya ni kitu rahisi hivyo? na nilishamuonya kuhusu avatar hii, shauri zake!
shkamoo shemeji...
hahaha dogo msredi una page nane hizi halafu unamalizia mambo PM inakuwaje....ama unamfahamu Jux? lol
<br />
<br />
 
Mmmmhhhh all da best, akiwa mume wa mtu mfanye 'just friend'. Kuna mkaka humu JF yaani ningeweza ningemlink na my hommie coz ni full mashauzi nilipitia comments zake kwenye thread ya member anatafuta jiko! Was like dah huyu naye .................
Mmhh....morio umenichekesha kweli
 
let the boy absorb the shock kwanza banaa, unadhani kuvunjiwa ukimya ni kitu rahisi hivyo? na nilishamuonya kuhusu avatar hii, shauri zake!
shkamoo shemeji...
<br />
<br />
Jamani King'asti wewe
 

aisee mbona mkali hivi?
The Finest mlifilikia muafaka gani?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…