sio mimi nimesema >>>Tell the Turkana people first, to till the land in order to get food.
Nimetizama taarifa ya habari ya ITV leo kuna watoto wanne wa familia moja wamekufa njaa huko Serengeti,
Sent using Jamii Forums mobile app
sio mimi nimesema >>>
Kenya imepiga hatua katika maendeleo.... ingia vitongojini, watu wanatanua na kupeta tofauti na Tanzania kama alivosema mlalamishi. hatupo miaka ya sabini ambapo unakuta gari la kuenda mjini ni moja na likikuacha basi utaaihirsha safari yako hadi siku ya pili.Unaongea nini sasa.
ukipita vijijini unakutana na makazi duni kabisa, kumechakaa, watu wamepauka vibaya.
kuna sehemu usafiri ni mshike mshike, kuona tu barabara ya lami unalazmika kukodi pikipiki elfu 30, bado usafiri unaotumika ni pijo 504 za miaka ya 70, nimeshuhudia sehemu nyingi tu mikoa tofauti ukiwa na safari ya halmashauri basi uandae na pesa ya gesti maana gari ni moja tu na kurudi ni kesho
Ni mburura flani wa kumu ignore tuYaani ukiangalia nyuzi za huyu jamaa utagundua ni mjinga wa aina gani
Kenya imepiga hatua katika maendeleo.... ingia vitongojini, watu wanatanua na kupeta tofauti na Tanzania kama alivosema mlalamishi. hatupo miaka ya sabini ambapo unakuta gari la kuenda mjini ni moja na likikuacha basi utaaihirsha safari yako hadi siku ya pili.
Bro, hii ni aibu kubwa ya karne kuwahi kutokea katika ulimwengu wa sasa >>>
>>>