kama hadi mtu amefikia hatua ya kuhama mji ili amwache mpenzi aendelee tu na maisha yake ujue hamtakii mabaya vinginevyo angeweza kumfanyia mambo mabaya kabla hajaondoka.
Pia wanasema 'you don't know the value of what you have till you lose it' kwahiyo ikifikia stage hiyo ujue lazima kuna vitu mtamiss kutoka kwa pande zote mbili hata kama ni vitu vidogo vidogo.