I thought 'kupiga ngeta' ni a sheng phrase. Nimeiskia kwa song ya Tanzania, kumbe you guys are embracing the sheng

I thought 'kupiga ngeta' ni a sheng phrase. Nimeiskia kwa song ya Tanzania, kumbe you guys are embracing the sheng

embracing the sheng wave....
left out wave kwa title
 
Kupiga ngeta ni msemo wa zamani sana.
 
Hebu wafuatilie machali wa Chuga Arusha kwenye Youtube, hutumia sana maneno ya sheng...hehehe
Hao vijana huniacha hoi, viatu vikubwa 😂😂 Chalii ya R kwanza dogo ana janjajanja za kinyang'au vile!
 
1. Mishemishe (hustling)
2. Ngwala (mtama)
3 Bata (party)
4. Demu (chick)
5. Papuchi(PUSSY)
6
7
1. Mishemishe (hustling)-Janta, Mraa

2. Ngwala (mtama)-Chapaa, doh, ganji

3 Bata (party)-dundaa, monyoski, rave

4. Demu (chick)-nguku, yengs, kwela, msupa

5. Papuchi(PUSSY)-pongi, loloh, nyapu

😂😂
 
Back
Top Bottom