I thought 'kupiga ngeta' ni a sheng phrase. Nimeiskia kwa song ya Tanzania, kumbe you guys are embracing the sheng

embracing the sheng wave....
left out wave kwa title
 
Long time ngeta inatumika huku kwetu. Pengine tunge list maneno ya mitaani yanayotumika Nairobi na Dar es Salaam,ili kujua lugha zetu za mitaani zinashabihiana kwa kiasi gani.
List hayo maneno ya mtaani
 
Kupiga ngeta ni msemo wa zamani sana.
 
Hebu wafuatilie machali wa Chuga Arusha kwenye Youtube, hutumia sana maneno ya sheng...hehehe
Hao vijana huniacha hoi, viatu vikubwa πŸ˜‚πŸ˜‚ Chalii ya R kwanza dogo ana janjajanja za kinyang'au vile!
 
1. Mishemishe (hustling)
2. Ngwala (mtama)
3 Bata (party)
4. Demu (chick)
5. Papuchi(PUSSY)
6
7
1. Mishemishe (hustling)-Janta, Mraa

2. Ngwala (mtama)-Chapaa, doh, ganji

3 Bata (party)-dundaa, monyoski, rave

4. Demu (chick)-nguku, yengs, kwela, msupa

5. Papuchi(PUSSY)-pongi, loloh, nyapu

πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…