I took my boda for a movie

I took my boda for a movie

amadala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,265
Reaction score
12,268
Hello 👋
Ni upendo tu🥰
Muwakumbuke bodaboda wenu mnaowatumaga vitu vya nyumbani na safari za hapa na pale.
Mwaka wa bodaboda huu wadada wameamua kuwabariki😎
13a7d66ef38e4cf0b5790561b465dbed_332375905_1520114405162416_2320035063397897293_n.jpg
 
Akiniletea anasubiri nje dakika 30 naoga, kuna mahali ananipeleka....hata ukimpa elf 10 akupeleke hakubali atakuambia "kuna mteja wangu anamsubiria" 🤣🤣
Huku kwetu Boda wa familia alishazoea kukaa nje kusubiri wenzie wakipita wanamtania
 
Mimi boda boda sina hamu nao!
Nilipokua naanza mahusiano nilikua na msichana wangu yaani ilikua soul mate wangu , tulipendana mfano hakuna ! Boda boda akapita nae mazima mpaka leo hii sijawahi hata kukutana naye.
Boda boda mjue dunia ni ndogo sana!
 
Mbona hajaingia na honda kwenye ukumbi....

Huyo ni mchepuko mwenye vazi la bodaboda
hawezi kuwa mchepuko huyo angalia pozi lake la picha.. ana kaaibu usoni kwake. huwez ukawa umeuona uchi wa mwanamke afu uone aibu wakati wa kupiga picha.. angekua ameshachungulia ndani angevimba kwenye picha.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom