I took my boda for a movie

Akiniletea anasubiri nje dakika 30 naoga, kuna mahali ananipeleka....hata ukimpa elf 10 akupeleke hakubali atakuambia "kuna mteja wangu anamsubiria" 🤣🤣
Huku kwetu Boda wa familia alishazoea kukaa nje kusubiri wenzie wakipita wanamtania
 
Mimi boda boda sina hamu nao!
Nilipokua naanza mahusiano nilikua na msichana wangu yaani ilikua soul mate wangu , tulipendana mfano hakuna ! Boda boda akapita nae mazima mpaka leo hii sijawahi hata kukutana naye.
Boda boda mjue dunia ni ndogo sana!
 
Mbona hajaingia na honda kwenye ukumbi....

Huyo ni mchepuko mwenye vazi la bodaboda
hawezi kuwa mchepuko huyo angalia pozi lake la picha.. ana kaaibu usoni kwake. huwez ukawa umeuona uchi wa mwanamke afu uone aibu wakati wa kupiga picha.. angekua ameshachungulia ndani angevimba kwenye picha.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…