I want to marry My Mother

Sasa naanza kuelewa kwa nini mbuzi ana ndevu lkn ng'ombe hana. Shetani aliwafundisha kidogo tu.
Ila wao wakaendelea mbele sana kwa akili zao wenyewe. Sasa shetani anawashangaa kwa jinsi
walivyoadvance. DU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! inasikitisha BABA ZIMA LINAOA MTOTO WAKE MWENYEWE
naloli tulikusulo
 
hata hapa tanzania haya maswala yapo, nimeyashuhudia sana dodoma na watoto wamezaliwa. Pia kwa walevi huwa inatokea sana mama akilewa, mtoto akilewa shughuli inaanza au mtoto akilewa anambaka mama yake hiii ilipelekea mama mmoja kujinyonga maana mtoto ilikuwa kila akilewa anafikia kumpalamia mama yake mzazi. watu wa namna hii huwa wanakuwa kama vichaa fulani baada ya kitendo
 
Habari hii niya mwaka juzi. Mwananchi wamechamsha!
 
Habari hii ilitokea mwaka juzi na mimi nilibahatika kuisoma kupitia online newspaper za afrika ya kusini na Zimbabwe. Nawshangaa Mwananchi kuitoa leo! Au ndo wanakamilisha usemi wa "kitabu ambacho hujakisoma ni kipya"?:lol:
 
Asubiri pia kuzaa na mwanae atakayemzaa, ambaye atakuwa ni mjukuu wa marehemu mumewe na ni mjukuu wake pia kwa mwanae wa kiume (first born). Na huyo mzaliwa atakuwa ni mtoto wake huyo baba, at the same time ni mdogo wake kwa mamaake.
 
Mhh! SOurce Mwanachi la leo!

Habari hii ni kamaniliwahi kuikuta Zim mwaka 2008 au 2009 kama sikosei! Nadhani wakuu wa kabila/kimila waliamua kumtimua mama huyo kutoka kwenye jamii yao wakisema analeta laana!
 
iN FACT HIYO HADITH ILISEMA KUWA MAMA ALIKUWA ANALALAMIKA KUWA AMEMGHARAMIA MWANAYE ELIMU NA MATUNZO WAKATI WA UTOTO NA SASANI MUDA WAKE KUFAIDI MATUNDA YA JASHOLAKE! yUMKINI MAMA NDO ALIMUANZA MTOTO! aU WOTE WALIANZANA!
Sasa hapo sijui nani alimuanza mwenzie?
 

Ama kweli dunia ina mambo kama tumefika huko!?!?
 
angekuwa ni baba ndo kafanya kwa mtoto wa kike, basi sa ivi angekuwa anaongelea jela! ivyo ivyo wanawake endeleeni na kasi iyo iyo
 

Kha kumbe siyo hata Tz? Basi tumwombe Mtngu tusijekumbwa na dhahama
 
Kweli ishara zote za mwisho wa dunia zinazidi kudhihirika
 
Kasheshe ipo kwa mtoto namna atakavyowaita hao wazazi wake. Huyo mama akliyemzaa amwite mama au bibi? na huyo kijana aliyejaza hiyo mimba amwite baba au kaka?
Nina mapendekezo: aliyebeba mimba amwite bimama na huyo aliytwisha mimba amwite kababa
 
Sasa huyo mtoto atakayezaliwa atamwita mama au bibi, baba au kaka? Huu ni ubatili mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…