I was happy having Breakfast with Mjengwa Maggid

I was happy having Breakfast with Mjengwa Maggid

Joined
Dec 1, 2008
Posts
24
Reaction score
4
nimekutana-na-majid-mjengwa-dar.html

Nilifurahi pale nilipojikuta tukipata kifungua kinywa pamoja na kaka Majid.
Ukweli ni kuwa nilikuwa busy hata ndugu zangu wengi wa karibu sikupata muda wa kuonana nao lakini nikaonana na huyu jamaa kilaini.
I like his work,picha zake za kona zote za Tanzania anazopiga nazifuarahia sana.Najua kwenye siasa mimi sipo na si mzuri but picha zake napenda angalia sana!All the best kaka katika mambo yako,if you get time karibu
huku China....
 
Back
Top Bottom