I will miss Jamii Forum

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
7,076
Reaction score
2,457
Wakuu,

Takribani siku 30 zijazo sitakuwa na access na Mitandao ya Internet - Naenda kwenye "Retreat" Parokiani kwetu - Kabashana

Kwa kipindi hicho chote itakuwa ni kufunga na kusali masaa 24.

Mungu awabariki nyinyi wote na familia zenu mmalize salama kipindi hiki cha sikukuu...

Tutawaombea
 
Safari njema kiongozi! Happy ya Noeli na mwaka mpya!😛arty:
 
will miss yah kwa kweli....pry 4 me eeeh....merry xmas and happy new year
 
We will miss you too, by the way i will be keeping an eye on dena till when you come back
 
Allah akutangulie baba enock.....inshallahh tuonane mwakani!
 
safari njema mkuu!...Lakini kama simu itafanya kazi na mtandao pia si utakuwepo?...au ni uamuzi wa moyoni kuwa mbali nasi!
Salamia wote huko.
 
Salamu zao huko,na Mungu awatangulie.merry xmas n happy new year
 
Mkuu iombee pia jamii forum iendelee kuwa kimbilio la wengi, tulizo la nafsi na kubwa zaidi kuzidi kuwa kipaza sauti cha wanyonge ambao sauti zao ni kelele masikioni mwa wakubwa/viongozi wetu lakini kamwe si JF. Nakutakia kila la kheli na Mungu akutangulie na hakika hutarudi kama unavyokwenda! Tuombee wote pia, nasi tutajifunza toka kwako
 
Bila shaka utatukumbuka katika maombi yako. Kila la kheri, Noeli njema na mwaka mpya wa mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…