NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
Sijambo swetie mikono leo ipo juu tu haitaki kushuka! (khaif khal!) sijui nimepatia??:whoo:
Pole aisee yani nakuona hapo unawaza na kuwazua polee mwayego
ata hawazi aniwazisha mie hebu nenda kamchek kwenye thred ya malavidavi,,,ye na afrodenzi waekeana miadi wakutane uchi kwenye mbele ya draja,,,kawasome ubaki hoi shost mikono leo iendelee kubaki juu tuu

hahaha nilham nawe kumbe una vituko mwe! Umenichekesha asubuhi hii. Baba Eno safar njema

Wakuu,
Takribani siku 30 zijazo sitakuwa na access na Mitandao ya Internet - Naenda kwenye "Retreat" Parokiani kwetu - Kabashana
Kwa kipindi hicho chote itakuwa ni kufunga na kusali masaa 24.
Mungu awabariki nyinyi wote na familia zenu mmalize salama kipindi hiki cha sikukuu...
Tutawaombea
Allah wa nini tena?? Kwani umesikia anaenda Madrasa??
Mh na hii ya kwako nayo inanitisha, Ishindwe !iombee na avata yako ishindwe
Asante kwa maombi.mubarikiweWakuu,
Takribani siku 30 zijazo sitakuwa na access na Mitandao ya Internet - Naenda kwenye "Retreat" Parokiani kwetu - Kabashana
Kwa kipindi hicho chote itakuwa ni kufunga na kusali masaa 24.
Mungu awabariki nyinyi wote na familia zenu mmalize salama kipindi hiki cha sikukuu...
Tutawaombea
Wakuu,
Takribani siku 30 zijazo sitakuwa na access na Mitandao ya Internet - Naenda kwenye "Retreat" Parokiani kwetu - Kabashana
Kwa kipindi hicho chote itakuwa ni kufunga na kusali masaa 24.
Mungu awabariki nyinyi wote na familia zenu mmalize salama kipindi hiki cha sikukuu...
Tutawaombea
will miss yah kwa kweli....pry 4 me eeeh....merry xmas and happy new year