Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Ndo uhalisia huo mama weee
hamkawii kumwambia mume kua mtoto c wake,
au kumuua mume mpate mali kama wamachame
Ingekuwa kinyume cha ingetoa matokeo ya kuamninika zaidi: Ni sawa na kumpima TB mgonjwa wa ukimwi -. Hapo ungepata 100%+/- ya uhakika. Kuna wagonjwa wengine wa TB hawana ukimwi.Mahesabu ya bongo yasikuumize kichwa. Asilimia sabini ya watu wangapi? Na ni kwa nini walipima? Hao walopima walikuwa tayari wanajua kinachoendelea hivo walienda ku confirm na hawakupima kujifurahisha; hivyo hizo data zisikuumize kichwa. Ni za waliozaa nje ya ndoa waliotaka kupima kama mtoto wa kimada ni wake au kuna waliomsaidia. In fact ilitakiwa iwe 100% kwani tayari waloenda kupima hawakuwa na imani kuwa watoto ni wao.
Ni sawa na kumpima ukimwi mgonjwa wa TB.
Bi Mrembo Asilia, kwa kiasi kikubwa ninakubaliana nawe. Tafauti ni kuwa wanaume wengi hata watendwe nini, wanagugumia kiburi na majivuno yao na hawako tayari kuhadithia stori zao. Mfano, mwanamue hata akitolewa nyumbani kwa mke kwa mateke kwenye masaburi, atajidai "ananitimua kwa sababu nimemwambia simtaki tena", katu hasemi ukweli. Kama wanaume nao wangekuwa wanaeleza jinsi walivyotendwa, ungeona kuwa suala la kutendana halitegemei jinsia (ingawaje nakiri kuwa kimaumbile wanaume ni wakorofi zaidi).Yani unapotafakari na kusikiliza kuhusu mambo ya wanaume kwenye mahusiano almost kila mwanamke ana story ambayo ni negative ya kueleza kuhusu hawa viumbe wa ajabu, ni wachache sana ambao hawajawahi kutendwa na hawa viumbe wenye roho ngumu (wanaume). Yaani wanaume wana roho ngumu kama mawe vile....anapokutenda hata haangalii kwamba utaumiaje, hawana hata huruma!!! alafu tabia zao kama zinafanana vile (yani baba mmoja mama mbalimbali, mwalimu wao mmoja). Mwambie tu ajipe moyo na kumuomba Mungu kwani ipo siku atampatia wa kumpoza machungu na kumliwaza..............hata niandike vipi sitaweza kumaliza nondo zangu kuhusu wanaume....
Yani unapotafakari na kusikiliza kuhusu mambo ya wanaume kwenye mahusiano almost kila mwanamke ana story ambayo ni negative ya kueleza kuhusu hawa viumbe wa ajabu, ni wachache sana ambao hawajawahi kutendwa na hawa viumbe wenye roho ngumu (wanaume). Yaani wanaume wana roho ngumu kama mawe vile....anapokutenda hata haangalii kwamba utaumiaje, hawana hata huruma!!! alafu tabia zao kama zinafanana vile (yani baba mmoja mama mbalimbali, mwalimu wao mmoja). Mwambie tu ajipe moyo na kumuomba Mungu kwani ipo siku atampatia wa kumpoza machungu na kumliwaza..............hata niandike vipi sitaweza kumaliza nondo zangu kuhusu wanaume....
Yani unapotafakari na kusikiliza kuhusu mambo ya wanaume kwenye mahusiano almost kila mwanamke ana story ambayo ni negative ya kueleza kuhusu hawa viumbe wa ajabu, ni wachache sana ambao hawajawahi kutendwa na hawa viumbe wenye roho ngumu (wanaume). Yaani wanaume wana roho ngumu kama mawe vile....anapokutenda hata haangalii kwamba utaumiaje, hawana hata huruma!!! alafu tabia zao kama zinafanana vile (yani baba mmoja mama mbalimbali, mwalimu wao mmoja). Mwambie tu ajipe moyo na kumuomba Mungu kwani ipo siku atampatia wa kumpoza machungu na kumliwaza..............hata niandike vipi sitaweza kumaliza nondo zangu kuhusu wanaume....
Acha uongo wewe umetendwa wewe alafu unajifanya mdogo wako,kwataarifa yako mambo yakikuzidia utapenda tena na sio mbali itakuwa soon tuu!!ni mwaka umepita tangu aje kwangu na kunambia ananipenda sana,na kuniahidi mapenzi yake yote baada ya kuachana na aliyekuwa wake wa ubani ,lakini juzi nampigia simu ananiambia amerudiana na mpendwa wake ooh me nimepata shock naapa sitapenda tena,haya ni maneno ya mdogo wangu camilla,
Aaah,bana eeeh msipende kutusema sema vibaya nyinyi {wanawake}kama mnatuona sisi baba mmoja mama mbalimbali kwanini mnajiremba mara make ups,tusingekuwepo sisi mngekuwa mnajiremba sababu gani?Mnatakiwa mshukuru sana kuwekwa dunia moja na sisi nyie watu,90% ya mahitaji yenu ya kibinadamu soln.yake ipo kwetu,tatizo lenu nyinyi mmezoea kudanganywa,na sikuzote ukitaka kumkosa mwanamke mwambie ukweli,ur unstable creatures including my female family members!!!Yani unapotafakari na kusikiliza kuhusu mambo ya wanaume kwenye mahusiano almost kila mwanamke ana story ambayo ni negative ya kueleza kuhusu hawa viumbe wa ajabu, ni wachache sana ambao hawajawahi kutendwa na hawa viumbe wenye roho ngumu (wanaume). Yaani wanaume wana roho ngumu kama mawe vile....anapokutenda hata haangalii kwamba utaumiaje, hawana hata huruma!!! alafu tabia zao kama zinafanana vile (yani baba mmoja mama mbalimbali, mwalimu wao mmoja). Mwambie tu ajipe moyo na kumuomba Mungu kwani ipo siku atampatia wa kumpoza machungu na kumliwaza..............hata niandike vipi sitaweza kumaliza nondo zangu kuhusu wanaume....
Nasema hivi huyo dada ndo mjinga na tena ana roho ngumu kama almasi! yeye kajua mwenzake kaachika na yeye anamkubali huyo mwanaume, hivi hakufikiria huyo mwanamke mwenzie ataumiaje! Nyie wanawake sometimes tafakarini upande wenu wa shilingi, mnadhuriana nyie wenyewe pia! Msikimbilie kunyooshea vidole wenzenu kwa minajili ya kuanua ngoma juani.
Kuna kila ushahidi katika statiscs za kimataifa, kwamba unapowaweka Male & Female na issue ikawa kuwapima uaminifu basi mwanamke ni lazima awe juu kwa kutokua muaminifu, japokua ukija ktk masuala ya huruma nani zaidi mwanamke atakua ni mwenye huruma kuliko mwanaume na kunako ujasiri wa kukabili task events mwanaume ndy mwenye ujasiri, pamoja na kwamba nimetumbukiza yalio nje ya topic ya thread lakini agenda hii naomba muelewe ni njanja pana sana tofauti na mnavyoifikiria kwani uaminifu ama kinyume cha uaminifu una minor elements hadi ufikie kua, hauzuki tu kama uyoga! Unavyo vimelea vya usababishi. Mwanzoni nimesema upo ushahidi wa kimataifa wa kumuhusisha mwanamke na kutokua mwaminifu hivyo nimeacha mlango u-wazi atakae source aseme cha-mbegu nifunguke
Aaaaaah wapi..wanawake wanaojiona wajanja na expirience ndio huwa wanalizwa kila siku!! ni vigumu sana kumfahamu mwanamume 100% kama ilivyo vigumu kumfahamu mwanamke 100%ni experience tu, akishawajulia hawamsumbui tena.
hahahaha! Nimefurahi unanitakia mema. Nikitendwa nitakupm unipe maushauri na matumaini. Lol.
Off topic: unaendeleaje?
Tatizo mnadanganyika kirahis sana,kwn alikukuta bikra huyu jamaa?nawe c ulikuwa na wako b4 him?mbona ukufikiria huyo mpnz wako wa zamani atajisikiaje kumuacha na kumchukua huyo?ni mwaka umepita tangu aje kwangu na kunambia ananipenda sana,na kuniahidi mapenzi yake yote baada ya kuachana na aliyekuwa wake wa ubani ,lakini juzi nampigia simu ananiambia amerudiana na mpendwa wake ooh me nimepata shock naapa sitapenda tena,haya ni maneno ya mdogo wangu camilla,
Pole sana dada, unaweza kujilaumu sana lakini huyo jamaa anakili sababu ya kufanya alivyo fanya. Alikupenda wewe kwakuwa tu ameachana na anayempenda. Hakuwa na mapenzi kwako.
Pole, endelea kutafuta. Wa kwako yupo na atakuja.
ulikuwa hujui hilo? 96% ya wadada hapa jf walishaumizwa sana, ndio kwanza wanakushangaa ww kuwa mgeni na wanaume.