I Will Never Trust Any Man

We Men stopped giving a hundred long time ago! Tulishajua mabinti vimeo tukianzia kwa Adamu na Eva.
 
[h=2][/h]
pole sana hivi ulitegemea nini ulipojichomeka kwenye hiyo love triangle?

what goes around normally cones around.........................mpaka umefikia kujuta yaelekea hata tunda ulikwisham'megea....................lol
 
Too bad kuhukumu kimakundi...wanaume vimeo wamo as well wanawake vimeo...muhimu ilikua ni kurudi nyuma kuangalia terms na conditions mlizowekeana kabla ya kudump kwenye affair badala ya kuwabebesha wengine dhambi za mwanaume wako...kwa mtu makini ulistahili kutegemea hayo unayoyaexperience sasa,hivyo nilitaraji ungekua umejiandaa kukabiliana nayo...
 

hapa ulidandia gari kwa mbele, unategemea nini? lazima likugonge tu,
 
nimeongelea wanaume na sio wanawake. Unaweza toa mtazamo wako kuhusu wanawake.

Mbona mkali ivo Dadaangu, Simba jike mwenyewe na ukali wake wote ule anatulizwagwa chini, anapewa Kitu na ana Zaa.
Acha ukali, Inin veveeee...?
 
Hata historia inaonyesha,wale ma-rais wanaoingia madarakani kwa mtutu,hung'olewa kwa mtutu pia,mpindua upinduliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…