Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Ona anavyomgaragaza Oliver Khan.............
Hakika Okocha alikuwa moto wa kuotea mbali
Hakika Okocha alikuwa moto wa kuotea mbali
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kamanda inaniumiza sana roho, nikimkumbuka jay jay okocha, kwanza wakati yupo entranch frankfurt alishawaha mtengua beki nyonga kwa vyenga hahaa. kile kizazi cha akina okocha kanu finidi george, tijani babangida, hakiji tokea tena mpaka sie tufe, ilikuwa balaa
Si mpenzi wa football lakini hii nimeipenda mno!...Hivi hayo nmi mazoezi au juju?