kamanda inaniumiza sana roho, nikimkumbuka jay jay okocha, kwanza wakati yupo entranch frankfurt alishawaha mtengua beki nyonga kwa vyenga hahaa. kile kizazi cha akina okocha kanu finidi george, tijani babangida, hakiji tokea tena mpaka sie tufe, ilikuwa balaa