Kitendo cha kujijua kuwa haupo sawa ni hatua nzuri. Jiepushe na malumbano. Potezea mtu akikuudhi. Kama thread si ya kuleta mzaha na wewe usifanye mzaha. Andika yaliyo sahihi, mahala sahihi na kwa wakati sahihi.
Pole sana mkuu,
Ila inabidi ushukuru Mungu kwa kugundua una tatizo hivyo wataka kubadilika kabisa. Najua waweza kuziepuka ban milele.
1. Ukiona mzozo jaribu kukaa mbali hata usikomenti chochote juu ya hilo.
2. Jifunze kutokuwa na hasira za haraka kwa hasira hasara.
3. Kama haupo kwenye mood nzuri usikomenti chochote, ingia jf na uishie kusoma coment na wachangiaji wengine.
:A S 465:
Even kwenye maisha kaka
ishi the way u like
Usipende na wala usiwe mtu wa hasira
Ignore hata mtu akikuudhi sometime chukulia yeye ni mpumbavu na achana nae usikunje sura wala kujibizana nae maana utajiumiza wewe
Take easy and uso wako upambwe na tabasam muda wote hata wakati wa mambo mazito maana Mungu anajua kuwa yapo na atakupa njia ya kuyakwepa na kuyamaliza
Neno!
Wengine ukikoment post zao inakuwa zogo
Khah! Nimegundua lazima upae na watu wenye shock absober za kulingana, vinginevyo unakuwa mtu wa povu
Neno!
Wengine ukikoment post zao inakuwa zogo
Khah! Nimegundua lazima upae na watu wenye shock absober za kulingana, vinginevyo unakuwa mtu wa povu
Inaonekana watu mnachukulia JF serious sana ehhh?True aise
Wengine hata ukishamuona tuu klwenye thread inabidi uondoke kimya kimya maana usitake kutengeneza scene ya bure
Inaonekana watu mnachukulia JF serious sana ehhh?
Inaonekana watu mnachukulia JF serious sana ehhh?
Silly!!si kuna home work?
Afu mtihani sitaki kuwa wa mwisho.
Nimenunua kaunta.
Hujawahi make joke afu ukapokea kibao cha uso??? Tena bora mtu ajibu hapo hapo, unakutana nayo 2 weeks later kwenye sredi tofauti.
Unabaki mdomo wazi, unaona bora kuruka tu hapo.
Unashangaa, that silly joke? Umelibeba hadi leo. Bora yako kichwa ngumu.
hunijui, sikujui lol