@Lizzy
tatizo lako ni spelling
nahene(not nahehe) - ndio
enhe - sawa, ila huwezi jibu mtu mzima enhe labda watoto na vijana wenzio.
Kama una adabu huwezi mwambia baba ako 'enhe'
Ohhhh owwkey.
Kwahiyo kiheshima ni nahene. . . na kishkaji enhe?
ndio, enhe kishkaji, nahene kiheshima.
afu enhe inatumika wakati mtu anakusimulia kitu
afu na wewe unaitikia enhe, ili aendelee kumwaga story.
Kama kiswahili unasimulia afu unaitikia ehee ili story ikolee. Si unajua mtu hawezi simulia story ndefu afu wewe uko kimya tu.
Even kwenye maisha kaka
ishi the way u like
Usipende na wala usiwe mtu wa hasira
Ignore hata mtu akikuudhi sometime chukulia yeye ni mpumbavu na achana nae usikunje sura wala kujibizana nae maana utajiumiza wewe
Take easy and uso wako upambwe na tabasam muda wote hata wakati wa mambo mazito maana Mungu anajua kuwa yapo na atakupa njia ya kuyakwepa na kuyamaliza
Thanks tena kaka.
Hapo kwenye red sio kwa manufaa yako tu, inaweza hata kufariji wakati mwingine
pia inakufanya urelax na kujua unatatua vipi tatizo lako.
Me like that!
Nimekumiss aise
Hujambo aise
natamani hapa ningepaona mapema. Lol.
Thanks tena kaka.
Hapo kwenye red sio kwa manufaa yako tu, inaweza hata kufariji wakati mwingine
pia inakufanya urelax na kujua unatatua vipi tatizo lako.
Me like that!