I wish I knew this before

Ndiyo maana inashauriwa muwe marafiki kwanza kabla ya kuamua kuoana, binafsi nimejifunza kitu kimoja, kama ukiwa mko pamoja halafu hamuwezi kutaniania ujue hapo hamna kitu, ...
 
Tena watoto wa single mother unawasomesha English medium kabisa hakuna shida na wewe ukifanikiwa kupata wakwako sawa, usipofanikiwa wale unaowasomesha hawatakutupa.
 
God forbid! Mioyo ya masingle mother ipo kama sumaku, mtu anaweza kuganda mzima mzima.

Uzuri huwa hawajifichi, stori mbili ya tatu atamzungumzia mwanaye ili ujue ni SM....hapo nafungulia turbo 1000 mph.
 
Hii inaitwa giving back to the society na Mungu atakubarimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…