I wish kudu sex juu ya guta!!!!!!!

I wish kudu sex juu ya guta!!!!!!!

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2010
Posts
745
Reaction score
23
Mambo vipi wana JF!!
Ni siku nyingine tena ya Alhamis tulivu kwangu!! Wakati nakuja kwa ofisi mara ikapita GUTA kuna dada mmoja kakaa juu yake na mizigo yake michache,I think alikuwa anawahishwa kwenye mihangaiko yake na huyo jamaa!
Nikaanza kudadis hivi hii GUTA imekaa kama kitanda vile,hapo ni kuweka GODORO na kuanza kudu mambo ye2 yale,nikawa nawaza yule dada kalala juu ya GUTA,urefu safi kabisa,upana kwa wanandoa unatosha,tairi za nyuma zipo fresh ni kuweka kitu cha kuzuia movement 2!!
Jamani kwa watu kama mimi unaona kitanda gharama ha2wez kutengeneza GUTA ikawa 2 in 1 i.e mchana inapiga mzigo na ucku kitanda???? I wish nidu sex na mwenzi wangu juu ya GUTA ili niweze kuleta hii research fresh!!!!!
 
Hiyo avatar yako imenifanya nishindwe kucomments hebu ibadili basi
 
Siyo mbaya ukido halafu uje utufahamishe ulijisikiaje kuliko kuweka mambo ambayo nadhani hakuna hata mwanaJF mmoja ambaye ameshawahi kufanya au kufikiri kufanya ukitoa wewe mtoa mada hii?
 
Mh!mbona umeenda mbali sana!kwa nini unawaza ngono tu!kwa nini usiwaze namna ya kuiboresha guta ibebe mizigo mingi zaidi na kupunguza utumiaji wa nguvu nyingi za binadamu wakati wa kuiendesha?
 
Ushazini tayari na huyo dada mkuu. Watanzania bwana badala ya kufikiria nanma ya GUTA kuliwekea engine au modifications zingine ili liongeze ufanisi katika kazi wewe unafikilia kulifanyia mambo ya ajabuajabu. Itatuchukua miaka mingi sisi watanzania kuendelea, maana hata kwenye kazi sie twaweka vikwazo
 
hahahaha dena umenifanya nicheke asubuhi,nini kimakuudhi kwa hiyo pic ni hayo meno nini?hahahahah

Mwasu inaleta kama kichefuchefu vile na hayo mambo ya kudo kwenye guta ndo kabisa
 
guta miyeyusho, balance yake zero.ukineng'eneka tu linabinuka.kama swala ni budget then bora godoro uliweke chini
 
Tatizo Avatar au kuna vi2 vingine??!! Pls just comment coz wakati wa kucomment ha2angalii sura wal Dental yangu ipo vipi!!!

Hiyo avatar yako imenifanya nishindwe kucomments hebu ibadili basi
 
Ndo maana nimeitoa maada hii mtoe comment vipi mnaionaje na ushauri wenu kama inafaa mkuu!!

Siyo mbaya ukido halafu uje utufahamishe ulijisikiaje kuliko kuweka mambo ambayo nadhani hakuna hata mwanaJF mmoja ambaye ameshawahi kufanya au kufikiri kufanya ukitoa wewe mtoa mada hii?
 
ikiwa kwenye movement ndio mzuka zaid
Mambo vipi wana JF!!
Ni siku nyingine tena ya Alhamis tulivu kwangu!! Wakati nakuja kwa ofisi mara ikapita GUTA kuna dada mmoja kakaa juu yake na mizigo yake michache,I think alikuwa anawahishwa kwenye mihangaiko yake na huyo jamaa!
Nikaanza kudadis hivi hii GUTA imekaa kama kitanda vile,hapo ni kuweka GODORO na kuanza kudu mambo ye2 yale,nikawa nawaza yule dada kalala juu ya GUTA,urefu safi kabisa,upana kwa wanandoa unatosha,tairi za nyuma zipo fresh ni kuweka kitu cha kuzuia movement 2!!
Jamani kwa watu kama mimi unaona kitanda gharama ha2wez kutengeneza GUTA ikawa 2 in 1 i.e mchana inapiga mzigo na ucku kitanda???? I wish nidu sex na mwenzi wangu juu ya GUTA ili niweze kuleta hii research fresh!!!!!
 
sio mbali mkuu na wala siwazi NGONO 2 but hilo la kubeba mizigo mingi wengi sana wanalijadili sio k2 kipya,mimi nimefikiria kwa upande wangu kuhusu kudu na mwenzi!!

Mh!mbona umeenda mbali sana!kwa nini unawaza ngono tu!kwa nini usiwaze namna ya kuiboresha guta ibebe mizigo mingi zaidi na kupunguza utumiaji wa nguvu nyingi za binadamu wakati wa kuiendesha?
 
Jamani mi hapa sijaona nimepita tu tutaonana huko

Etiii halafuuu ubakaji hautaisha kiurahisi na piaaa kama tukiendelea hivi tutakwisha na ukimwi yatabaki masufuria na vijiko
 
Hayo kuna wa2 tayari wanayajadili kuhusu Engine na Modification zenyewe ndo hizi mkuu GUTA kuwa KITANDA imekaa vipi hii??!!
Pia cjazini na huyo dada mimi mawazo yangu yalikuwa kwenye GUTA na KITANDA huyo dada nilikuwa nampima urefu 2!!

Ushazini tayari na huyo dada mkuu. Watanzania bwana badala ya kufikiria nanma ya GUTA kuliwekea engine au modifications zingine ili liongeze ufanisi katika kazi wewe unafikilia kulifanyia mambo ya ajabuajabu. Itatuchukua miaka mingi sisi watanzania kuendelea, maana hata kwenye kazi sie twaweka vikwazo
 
sio mbali mkuu na wala siwazi NGONO 2 but hilo la kubeba mizigo mingi wengi sana wanalijadili sio k2 kipya,mimi nimefikiria kwa upande wangu kuhusu kudu na mwenzi!!

Engineer Smasher
"When I am afraid,I will trust in you ( Lord)" Ps 56:3
 
Back
Top Bottom