I wish to....

huku mamama tupo,ila hatufagilii mamarioo.....:rockon:
 
hivi kwa haya mawasiliano yako utamtambuaje kuwa yuko makini kama wale unawaona kwa macho wamekushinda?
 
good luck,mpaka umeweka no.ya simu,ila kuwa makini,usije ukatapeliwa tu.maana uongo haujalishi age,ila ni tabia ya mtu
 
hiyo namba ya simu ni ya mchi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…