Penny JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 575 Reaction score 50 Feb 18, 2010 #1 hivi mtu akiwa mjamzito (now let say four nonths and one week) anatakiwa kunywa maji kiasi gani na kufanya mazoezi yapi. Na milo inatakiwa kuliwaje. Shkranini kwa misaada yenu wapendwa.
hivi mtu akiwa mjamzito (now let say four nonths and one week) anatakiwa kunywa maji kiasi gani na kufanya mazoezi yapi. Na milo inatakiwa kuliwaje. Shkranini kwa misaada yenu wapendwa.