pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
-
- #21
Hamjamaliza Ku ~vote?Wakenya wengine wawili wateuliwa kuwania tuzo la IAAF World Rising Star Award(hii ni kwa under-20). Kwa wanaume, Rhonex Kipruto, kwa wanawake, Celliphine Chespol. Bado wiki mbili. https://www.iaaf.org/news/press-release/finalists-2018-female-iaaf-rising-star-award
Awards will be in two weeks time December 4. Siku ya mwisho ya kupiga kura ilikuwa Novemba 13. Finalist tano wa mwisho kwa tuzo la IAAF World Athlete of the year wameshatangazwa na kwa wanaume mkenya Eliud Kipchoge bado yupo. Kwa wanawake pia, Beatrice Chepkoech yupo kwenye orodha ya finalists. Hao wakenya wengine wawili hapo juu walitangazwa kama finalists pia, kwenye tuzo la 2018 IAAF World Rising Star Award, kwa wanariadha chipukizi U-20.Hamjamaliza Ku ~vote?
HUWEZI Ku comment pasipo kuwataja wabongo?I forgot my twitter password.
Wabongo na wivu wao hawawezi vote for a Kenyan
Mimi huziita baraka. Yaani Mola akikusudia kukubariki hakuna wa kupinga.Mkenya King David Rudisha alipopokea tuzo hilo kule Monaco, baada ya kushinda mwaka wa 2010. Tuzo lenyewe liliambatana na bonus ya kitita cha $100,000.
Ilikuwa over $1MMkenya King David Rudisha alipopokea tuzo hilo kule Monaco, baada ya kushinda mwaka wa 2010. Tuzo lenyewe liliambatana na bonus ya kitita cha $100,000.
Juu alivunja record yake twin within a week.Ilikuwa over $1M
Yep, thats the amount he got for breaking a 13 year old record, by another kenyan mind you, Wilson Kipketer, then breaking his own record a week later. Thats what earned him the athlete of the year award.Juu alivunja record yake twin within a week.