Iam searching for a white girl or woman

Iam searching for a white girl or woman

Thrust

Senior Member
Joined
Oct 21, 2018
Posts
146
Reaction score
300
Iam searching for a white girl or woman for marriage.i real admire them please wherever you are come to me
 
Lkn si mpaka wakukubali, kuna kamtihani pia hapo, unaweza ukamuadmire mtu lkn yeye asikuone hivyo!
 
And where are yu searching them?? Kweli kwetu kuzuri sana. Utamwokota tu huko huko aliko ila usiangalie nywele tu. Siku hizi wadada wamegundua madawa mengi. Mchaga anajiyeyusha akiwekelea tena katani kichwani utathani ni mmarekani wa Alaska.
 
Kuna hii forum site inafanana kabisa na JF inaitwa www.blacktowhite.net ingia humo wapo wa kumwaga ushindwe wewe hadi dada zetu wakitaka madanga ya kizungu yapo humo kazi kwenu. Me nimeopoa kazungu kamoja ka kubatua kanakuja likizo Tanzania mwezi ujao.
 
Back
Top Bottom