Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Habari za majukumu JF members wote.
Mungu ni mwema na hatimaye yamebaki Masaa tu kama sio dakika tuimalize Ramadhan ambayo imechukuwa Siku takribani 30.
Ni furaha ilioje kwa Waislam wote na wasio Waislam kesho kusheherekea sikukuu ya Eid baada ya kumaliza Mfungo salama salimini.
For now nipo Morogoro mjini, si mwenyeji kihiivyo but nahitaji nifahamu wapi(Kiwanja) itafanyika ibada/Swala ya IEDD kimkoa (hapa mjini) maana nahitaji kesho panapo majaaliwa nijumuike na Waislam wenzangu kufanya Ibada hii Adhim kwetu.
Asante