Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Bakwata na viwanjani wapi na wapi?.hapo ni ndani ya msikitiniHabari za majukumu JF members wote.
Mungu ni mwema na hatimaye yamebaki Masaa tu kama sio dakika tuimalize Ramadhan ambayo imechukuwa Siku takribani 30.
Ni furaha ilioje kwa Waislam wote na wasio Waislam kesho kusheherekea sikukuu ya Eid baada ya kumaliza Mfungo salama salimini.
For now nipo Morogoro mjini, si mwenyeji kihiivyo but nahitaji nifahamu wapi(Kiwanja) itafanyika ibada/Swala ya IEDD kimkoa (hapa mjini) maana nahitaji kesho panapo majaaliwa nijumuike na Waislam wenzangu kufanya Ibada hii Adhim kwetu.
Asante
Akiamka asubuhi achukue boda apelekwe Msikiti mkubwa uliopo Boma road.Siku zote ibada ya eid Morogoro inaswaliwa kwa misikiti na sio kiwanjani... So jiandae kwenda "boma road" ama msikiti wa mafiga "kwa mahita"
Tuoneshe na picha ya mwezi mwandamo ulivyokuwa siku ya jana! Kama huna tulia!BAKWATA mungu anawaona sio kwa lijimwezi hili View attachment 1783547
Minalfaidhina Sheikh,Nawatakia wana JamiiForums wote EID MUBARAK
Mkuu mwezi kweli ni mkubwa lakini sio suala la kubeza kwa sababu jana kulikuwa na mawingu hivyo walikuwa sahihi kwa upande wao kutokuuona jana.Acha ubishi... Mwezi mwandamo huwa unaonekana kwa machale... Huwa inafikia wenzio Wana uona ila wewe huuoni na wote mpo sehemu moja.
Jana ikuwa so rahisi kuuona mwezi kwa hapa nilipo (DSM) kutokana hali ya anga kuwa na mawingu.
Tafuta sifa za mwezi mwandamo then linganisha na hili limwezi.
Jana ilitimia 30 kwahiyo hawakuangalia mweziTuoneshe na picha ya mwezi mwandamo ulivyokuwa siku ya jana! Kama huna tulia!