ibada ya jana

ibada ya jana

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
4,251
Reaction score
2,869
Jamaa alikuwa kanisani,jirani yake akamnong'oneza "kwa uwezo wa Mungu leo utatembea".....jamaa akafikiriaaaa "mbona sina ulemavu wa miguu?" Lakini akaona hamna noma,labda Mungu anataka kufanya miujiza,akajibu ameeen.Baada ya ibada,walipotawanyika,jamaa kujisachi akajikuta hana hata mia!!
 
kwe kwe kwe...
noma hii..🙁🙁🙁
 
Jamaa alipigwa ndole za Kariakoo za kipindi kilee
 
Back
Top Bottom