Ibada ya jumapili 16 November 2025 KKT- dmp usharika wa Kimara

Wanasemaje kuhusu maandamano ya 9D?maana wengine hatuna bando
 
Kwa hiyo wao wanaunga mkono utekaji na uuaji wa tu kama polepole,mdude,mzee kibao n.k?
 
Kwa hiyo wao wanaunga mkono utekaji na uuaji wa tu kama polepole,mdude,mzee kibao n.k?
Makanisa yote ya KKKT, Jumapili ya leo wamesoma Waraka wa kanisa.

Wamelaani nguvu kubwa kupita kiasi iliyotumika kuwazuia vijana katika siku za 29 Octoba na kuendelea.

Mwezi mzima huu wa Novemba, kila siku kutakuwa na sala maalum kwa ajili ya kuomboleza yale mabaya yote yaliyofanywa na raia.

Hakuna mahali walipounga mkono yaliyotokea wala kuwabariki viongozi katika waraka huo.
 
Umesoma waraka wa CCT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…