Ibada ya kumtukana shetani

Ibada ya kumtukana shetani

Jana nilialikwa kwenye kanisa moja hapa jijini. Kanisa la watu wa Afrika ya Kati, kulikuwa na ibada maalum ya kumtukana shetani kwa mateso anayowapa wanadamu, aiseee jamaa wanatukana kudadeki.

Sikufanikiwa kumaliza ibada aisee..... kwa kweli sio kila kanisa ni la Kristo
Kwahiyo matusi yalikuchosha..pole sana..waambie next time watukane na kukemea tozo nadhani itakua msaada kwa watanzania.

#MaendeleoHayanaChama
 
Jana nilialikwa kwenye kanisa moja hapa jijini. Kanisa la watu wa Afrika ya Kati, kulikuwa na ibada maalum ya kumtukana shetani kwa mateso anayowapa wanadamu, aiseee jamaa wanatukana kudadeki.

Sikufanikiwa kumaliza ibada aisee..... kwa kweli sio kila kanisa ni la Kristo
Yuda 1:9
Lakini Mikaeli, malaika mkuu, aliposhindana na Ibilisi, na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthubutu kumshitaki kwa kumlaumu, bali alisema, Bwana na akukemee.

Yuda 1:10
Lakini watu hawa huyatukana mambo wasiyoyajua, na mambo wayatambuayo kwa asili wajiharibu kwayo kama wanyama wasio na akili.
 
Aiseeee......
Kumbe hawakupaswa kumtukana shetani. Sasa kwanini malaika alumuogopa shetani?
 
Suguye baada ya kumaliza Ibada ya kucha na nywele season 1-5 pale Kivule sasa yuko Arusha kama unavyoona
FB_IMG_16635162909629654.jpg
 
Yuda 1:9
Lakini Mikaeli, malaika mkuu, aliposhindana na Ibilisi, na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthubutu kumshitaki kwa kumlaumu, bali alisema, Bwana na akukemee.

Yuda 1:10
Lakini watu hawa huyatukana mambo wasiyoyajua, na mambo wayatambuayo kwa asili wajiharibu kwayo kama wanyama wasio na akili.
Kwahiyo hilo kanisa wamepagawa?
 
Jana nilialikwa kwenye kanisa moja hapa jijini. Kanisa la watu wa Afrika ya Kati, kulikuwa na ibada maalum ya kumtukana shetani kwa mateso anayowapa wanadamu, aiseee jamaa wanatukana kudadeki.

Sikufanikiwa kumaliza ibada aisee..... kwa kweli sio kila kanisa ni la Kristo
Shetani na ndugu zake [emoji23]
 
Aiseeee......
Kumbe hawakupaswa kumtukana shetani. Sasa kwanini malaika alumuogopa shetani?
Malaika wanafata Protocol na kuzi heshimu. Mikaeli awapo duniani ( sio eneo lake la mamlaka), atafanya tu pale kutimiza neno la Mungu linavyotaka, ila iwapo mbinguni anakuzabua tu maana ni eneo lake la mamlaka na utendaji. Shetani ibili duniani ni eneo lake, ndio maana Mikaeli hakutaka ku violate utaratibu ilibidi amsihi Mungu amkemee, ila Malaika yoyote duniani anafanya ( atadfanya) kama mtu amesema neno la Mungu, ( unapotamka neno la Mungu ndio unampa nguvu ya kutenda), refer Daniel kadri unavyotaka neno la Mungu una mu impower malaika kutenda kazi katika realm ya duniani, bila hivyo hawezi ndio maana hapo kwa Musa hakuwa na mwandamu ana interced so alichokimbilia mzee Michael ni kumuambia Mungu na akukemee
 
Back
Top Bottom