Ibada ya kumtukana shetani

Sawa jitahidi ualikwe ibada za kula na mizimu wanavyakula vitamu sana
 
Kwahiyo matusi yalikuchosha..pole sana..waambie next time watukane na kukemea tozo nadhani itakua msaada kwa watanzania.

#MaendeleoHayanaChama
 
Yuda 1:9
Lakini Mikaeli, malaika mkuu, aliposhindana na Ibilisi, na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthubutu kumshitaki kwa kumlaumu, bali alisema, Bwana na akukemee.


Yuda 1:10
Lakini watu hawa huyatukana mambo wasiyoyajua, na mambo wayatambuayo kwa asili wajiharibu kwayo kama wanyama wasio na akili.
 
Aiseeee......
Kumbe hawakupaswa kumtukana shetani. Sasa kwanini malaika alumuogopa shetani?
 
Kwahiyo hilo kanisa wamepagawa?
 
Shetani na ndugu zake [emoji23]
 
Aiseeee......
Kumbe hawakupaswa kumtukana shetani. Sasa kwanini malaika alumuogopa shetani?
Malaika wanafata Protocol na kuzi heshimu. Mikaeli awapo duniani ( sio eneo lake la mamlaka), atafanya tu pale kutimiza neno la Mungu linavyotaka, ila iwapo mbinguni anakuzabua tu maana ni eneo lake la mamlaka na utendaji. Shetani ibili duniani ni eneo lake, ndio maana Mikaeli hakutaka ku violate utaratibu ilibidi amsihi Mungu amkemee, ila Malaika yoyote duniani anafanya ( atadfanya) kama mtu amesema neno la Mungu, ( unapotamka neno la Mungu ndio unampa nguvu ya kutenda), refer Daniel kadri unavyotaka neno la Mungu una mu impower malaika kutenda kazi katika realm ya duniani, bila hivyo hawezi ndio maana hapo kwa Musa hakuwa na mwandamu ana interced so alichokimbilia mzee Michael ni kumuambia Mungu na akukemee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…