Ibada ya "maombEzi "

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937


UKIULIZA.WAPI MAMII...WAJIBIWA..
"DADII..NIPO KWENYE MAOMBI MAALUM JAMANI.. NA BABA MCHUNGAJI. TENA ANAKUSALIMU."
 


UKIULIZA.WAPI MAMII...WAJIBIWA..
"DADII..NIPO KWENYE MAOMBI MAALUM JAMANI.. NA BABA MCHUNGAJI. TENA ANAKUSALIMU."

Hizi ndizo kazi za Wachungaji katika Makanisa ya Walokole akina Kakobe kazi kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Anatolewa Pepo Mchafu huyoooooooooooooooo:becky::becky::becky:
 
Hilo lazima liwe pepo la ngono linalotolewa. Hata lugha inayotumika hapo ni ile kunena kwa lugha ambayo wahusika hapo hawaielewi. Hah haaaaaaaah haaaah
 
Ngoshwe,hili ni jukwaa la vikaragosi au photos?. Jf tafadhari anzisha jukwaa la vikaragosi.
 
Wachungaji na Ma padre wengi wanatafuna sana kondoo wa bwana. na Kondoo wenyewe wakiombwa na wachungaji wengi hujiona wenye bahati kumbe ni UZINZI mtupu hahahaha
 
teh teh teh..............!kweli wachungaji hulia madhabahuni................!
 
Ndo mana mungu anasema nawajua walio wangu .kama mtu anaufunuo wake wa kuongoza kanisa sawa ila sisi wengine tunaongozwa na mungu hayo mengine ni maono yao na wengine wanaufunun wao binafsi siyo wa mungu.lakini ucseme kimakakobe je mbona nyie mnajidai mnava vizuri kumbe wengi wao ni wazinzi wakubwa .bora mnayemwona kuliko anayejificha .sasa kunautofa uti wa miungu
 
Ngoshwe,hili ni jukwaa la vikaragosi au photos?. Jf tafadhari anzisha jukwaa la vikaragosi.
na wewe umejiunga jana tu unamlaumu Ngoshwe Ama kweli hi J.Forums imeingilia na watu wa jabu tehtehteh:becky::becky::becky:
 
Nilikuwa sijacheki fresh, kumbe na suruali ya mchungaji iko chini ya magoti?
 
Hizi ndizo kazi za Wachungaji katika Makanisa ya Walokole akina Kakobe kazi kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Anatolewa Pepo Mchafu huyoooooooooooooooo:becky::becky::becky:

mzizimkavu Mungu akukemee!! akutoe kwenye utumwa angamivu wa huyo babayako iblisi.Ngoshwe alipoipost hiyo thread ni kuwakemea watumishi wenye tabia hizo za kishetani. wapo kila mahali watumishi wa jinsi hiyo,watoto wangapi wamefanyiwa yasiyositahiki madrasa???????????????!!!
 
ni laana kwa muumba kushika biblia takatifu then ukafanya uchafu huo hapo juu
 
Tunaomba mkalimani tafadhari ingawa picha inajieleza ....
 
Mimi naona katuni iko biased maana hadi kutumia Biblia takatifu inatisha. Hay ni matusi kwa wale wanoifanya kazi ya Mungu kwa moyo. Halafu wengine wanadiriki kutaja majina ya hao wanaowaombea wahitaji- sio sawakuja majina.
 
Tunaomba mkalimani tafadhari ingawa picha inajieleza ....

Mchungaji: Biblia inatuambia katika Waebrania tushike hivi wale wote tunaowaombea na kuwapaka mafuta
Mwuumini: Eh! Jamani pastor!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…