herzygovina mwangosi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 900
- 431
Duuuh hizi ni chuki za wazi wazi nyimbo hujaisikia alafu unasema mbaya kweli hungry fire [emoji91]nyimbo mbaya balaa japo bado sijaisikia
duu!!! yaani hujaisikiliza lakin tayari umeshajua ni mbaya balaaa. umetisha sananyimbo mbaya balaa japo bado sijaisikia
nimepapenda hapo kwenye marangirangiWahenga weupe wanasema 'when you are happy you enjoy the music, when you are sad you understand the lyrics'
Utashangaa kuna mahali mtu anaupenda huo wimbo anauimba kutwa nzima
Ni kweli kabisaWahenga weupe wanasema 'when you are happy you enjoy the music, when you are sad you understand the lyrics'
Utashangaa kuna mahali mtu anaupenda huo wimbo anauimba kutwa nzima
nimepapenda hapo kwenye marangirangi
Yaani ukivuta hisia Tu Ni mbaya ha ha haaaaaaa!nyimbo mbaya balaa japo bado sijaisikia
hahhha haa wahenga weusi bhana eti ndo ndo si chururu,Sasa mhenga mweusi saa ngapi atawaza mziki? Yeye anaweza tu ndo ndo ndo si chururu
Atatoa ngoja atafute sauti!Toa wewe yako...tuisikie ilivo nzuri.
Uongo huu..angeimba nje ya wasafi mgeisifu..nyimbo nzuriHii ngoma ni mbovu kuliko Rich alivyowahi kuimba miaka ya nyuma....Ngoma iko too flat haina rise and fall ya sauti!
Wakastuka kuwa haito kiki faster faster wakatoa video yake on spot!!
Mbaya zaidi video ilikochukuliwa ni sehemu ile ile alikofanyi harmonise ngoma aliyokuwa na diamond!!
Hapo ndio video inapo boa zaidi ukichanganya na wimbo ambao haujafata ala za kimziki!
Tupatie tafwadhali
Yani haujaisikia na bado unasema mbaya Teh Teh...nyimbo mbaya balaa japo bado sijaisikia