Lugano patrick
New Member
- Jun 1, 2016
- 3
- 0
Sasa wewe mwenyeji humu ndani huo muda uliotumia kukomenti si ungeutumia kwa kuiweka hiyo linki hapa ??? ( nasema bado mutatuwekea kila kitu kinachomuhusu yeye, TUKIWAULIZA JE, MWANZO MULIKUWA HAMUMUONI/HAMUMJUI MAJIBU MTAHISHIA KUJIUMA TU.)Sikulaumu unaonekana wewe mgeni humu ndani kaa tulia na pitia thread hapa jukwaa la celebrity utapata majibu yako uliyouliza
Umeongea ukweli tupu mkuuBila bias yoyote, mi huwa napenda mziki mzuri iwe hip-hop, rnb au mahadhi yoyote. Kuna kitu kimoja hua nina imani nacho sana katika kupelekea nyimbo iwe nzuri nacho ni ala/mapigo ama Beats/Instrumental. Ukizingatia nyimbo nyingi za siku hizi hazibebi ujumbe bali ni mahususi kwa ajili ya kuleta mizuka/flavor tu ya kusikiliza ama kucheza,Kwa uzoefu wangu beat ikiwa nzuri sana inaweza kuinua hisia za msikilizaji regardless mashairi yawe mazuri au yasioeleweka na mara chache yanaweza kuubeba wimbo usio na mapigo mazuri ila hilo hutokeaga aidha kukiwa na flow nzuri ama yakibeba ujumbe mzito sana.
Ukilifuatilia hilo kwa umakini waweza kuipata point yangu.
Back to topic ya mtoa mada, kwa hio ngoma ya mavoko haina flavor kabisa yani, beat hamna kitu na flow ya mashairi ni hewa tu kulinganisha na nyimbo za nyuma hasa ile "pacha wangu", it was one of his perfect piece of arts. Ushauri ainvest kwa producers wazuri hasa Bob Manecky wa AM records na yule wa Sei records wanaziweza sana beat za likes zake!
Hata Diamond mwenyewe bila mkono wa manecky mungu ndio anajua!
Inawezekana kweli hii nyimbo "ikawa mbaya" ila mi naona "aje" ni nyimbo mbaya zaidi tangu ujio wa Bongo fleva.Nyimbo mbaya sitaki hata kuisiliza walau Mara moja
Aje ina ala nzuri ila imepooza mno, nadhani ndio maana inaonekana mbaya sana!Inawezekana kweli hii nyimbo "ikawa mbaya" ila mi naona "aje" ni nyimbo mbaya zaidi tangu ujio wa Bongo fleva.
Aje nzuri Sana buana mkuu tena video yake iko poa zaidiAje ina ala nzuri ila imepooza mno, nadhani ndio maana inaonekana mbaya sana!
yeah, mi pia naipenda ile nyimbo iko mukide it sounds great zaidi ukiwa uko booze mdogo mdogo, iko kama blues flani hivi!Aje nzuri Sana buana mkuu tena video yake iko poa zaidi
Yeah, mashabiki mandazi wasojua mziki mzuri ndo wanaweza kuifananisha hii ngoma na za kina harmonz, Ali K Ana melody ya kipekee sanayeah, mi pia naipenda ile nyimbo iko mukide it sounds great zaidi ukiwa uko booze mdogo mdogo, iko kama blues flani hivi!
Angalia Rich Mavoko - Pacha wangu alafu angalia na Rich Mavoko - Marry me na zaidi kuna hii ameshirikishwa na Matonya feat Rich Mavoko - Mule mule hizo naweza kusema latest kidogo je unaweza kufananisha na huo ameachia jana tuache ushabiki tuongee vitu vya ukweli
Ali K tokea Cinderella ni shidaaa mpaka Aje,,,asije pekee yakeee, ajee!Yeah, mashabiki mandazi wasojua mziki mzuri ndo wanaweza kuifananisha hii ngoma na za kina harmonz, Ali K Ana melody ya kipekee sana
mshakaji,kweli upo likizo!!!Kweli ni nyimbo mbaya