Ibaki Story: Ngoma Mbovu kuliko zote WCB

Huy cyo Rich mavoko ninayemjua mm jamaa hatar sana ila kwa hapa kidg kayumba cyo cri.Ila kutokana na figisu figisu na itapewa airtime ya kutosha mtaisikiliza kwa lazma mpk muielewe tofaut na Aje ukisikia mara moko tu unacheza.
 
Huy cyo Rich mavoko ninayemjua mm jamaa hatar sana ila kwa hapa kidg kayumba cyo cri.Ila kutokana na figisu figisu na itapewa airtime ya kutosha mtaisikiliza kwa lazma mpk muielewe tofaut na Aje ukisikia mara moko tu unacheza.

Hiki ndo kitu kingine WCB wamefaulu, kwamba ngoma za madogo kina Harmo, Rich Mavoko ndo zinalinganishwa na za Kiba kwa sasa. Siyo tena za D.
 
Hiki ndo kitu kingine WCB wamefaulu, kwamba ngoma za madogo kina Harmo, Rich Mavoko ndo zinalinganishwa na za Kiba kwa sasa. Siyo tena za D.
Unampomtaja D inamana ni WCb hali kadhalika na Richmavoko kwa sabb ngoma isingeachiwa bila ya kufanyiwa inspection na timu nzma polen sana.
 
watu mnatokwa mapovu...kwani kutoa nyimbo mbaya,jambo la ajabu...nyimbo mbovu..awe wcb au awe nje ya wcb..nyimbo mbovu!
Watu wanatokwa mapovu, wewe nyau unatokwa MAKOOZI basi sawa. Nyimbo kuwa mbaya si tatizo ni kama tunavyosema "aje" ni linyimbo la hovyo kuwahi kuwepo duniani,lakini tatizo linaanzia hapa, hamjawahi kumuanzishia "UZI" wa kuziponda/kuzisifia nyimbo zake kabla ya kujiunga WCB je, tukisema ni kwa sababu kajiunga WCB tunakosea ??????? ( maana Rich Mavoko hakuanza jana kuimba wala juzi.) na kama kuna "uzi" wa KUPONDA AU KUSIFIA nyimbo zake kabla ya kujiunga WCB wekeni link hapa.
 
Mimi nawashangaa malofa, kutu mashairi yamekwenda shule, video kali yenye hadhi. Sababu as chuki ni hao kina babu maana wanaona wanapitwa na vijana. Wiki ijayo mavoko atachukua ndinga na Kajala awe standby watu wanataka kubinafsisha mzigo.
 
Wabongo kama kawa yetu kudiss,,,, kitu bakora hatari au team kiba ww full mawivu.... Sio mbaya unajaribu kuonesha changamoto mzee
 
Kamwe IPP haimpingi mengi
 
Nyimbo ina likes zaidi ya 3,000 , dislike 190 na ina views zaidi ya laki moja chini ya masaa 24
Unasema nyimbo mbaya kweli ukiwa na chuki ikili inatoweka
 
Mkuu dizain hata house girl akiimba wakati anaosha vyombo unasifiaga.

Ndiyo maana tume-teamup na kina Mavoko ili tuone tunapambana vipi na Jeshi la mtu mmoja King Kiba, Balozi wa Tembo.
 
Ingia YouTube angalia viewers wa ngoma yake Ibaki Story ndani ya masaa 22 tu imefikisha views 100,500 kisha angalia ngoma zake zingine alizoziupload kitambo hakuna inayovuka views 10,000 na hii inaonesha tayari ameshaanza kukubalika....chezea Wasafi wewe utalala nje na baridi plus mvua....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…