Mwanakijiji,kwanza naomba ufafanue,maana quotation yako ya katiba inasema "...bila ya idhini ya sheria....",lakini wewe unauliza iwapo walipewa idhini ya mahakama.Mimi nadhani ndio sababu Raisi alimuweka mwanasheria mkuu ili hatua dhidi ya upotevu wa fedha hizo uwe chini ya uangalizi wa kisheria,sembuse katiba?
Pili,nadhani umemsikia Mh.Spika alivyo wind up hotuba ndefu ya Mr.President kwa kusema hakuna haki za binadamu kwa wabadhirifu wa fedha za umma.Kama motive ya akina Mwanyika ilikua ni kurejesha fedha kwanza,mengine baadae(kama yapo),maadamu mwizi kapatikana,hayo mambo ya kuendekeza woga juu ya mafisadi kwa visingizio na upindishwaji wa sheria na katiba nadhani ndio watu wanapigia kelele kila siku humu JF.
Serikali imekua tooo slow kutake actions dhidi ya mafisadi,na worse enough,japo President anajua ana mamlaka makubwa ambayo hata kama ingekua ni kwa lengo la kuwashugulikia wachache ili wawe fundisho kwa wengine,angeshaonyesha kwa vitendo ile dhamira anayodai kua nayo dhidi ya viongozi wabadhirifu, bado leo amekiri wazi kwamba anaogopa kuja kulipa fidia!
Its so unbelievable kwamba wale wezi wataishia kulipa tu.I still comvince myself kwamba line ya mwisho ya point ya EPA ktk speech ya Rais alisahau kuisoma,iliyoelezea kushtakiwa mara moja kwa wote waliorejesha pesa hizo,maana waligawana kinyume cha sheria.Na kwamba this everning kutakua na breaking news kutoka kwa Rais akitoa maelezo hayo 🙂
Conclusion:Heri kenda mkononi kuliko kumi nenda rudi.Kwa kuvunja au kutovunja sheria,at least fedha ya EPA itakuja kumfaa mkulima wa kwetu Ng'hungumalwa siku moja.