53.-(1) Kila mtoto ana haki ya:
(a) kupewa jina, uraia na kusajiliwa;
(b) kutoa mawazo, kusikilizwa na kulindwa dhidi ya uonevu, ukatili, udhalilishaji, utumikishwaji na mila potofu;
(c) kuwekewa mazingira bora ya kucheza na kupata elimu ya msingi;
(d) kuhifadhiwa katika mazingira mazuri, kwa walio katika ukinzani na sheria;