Ibara hizi 285, 286, 287 na 288 katiba inayopendekezwa zimekaaje?? Je!! Zinamuongezea jk muda??

SULEIMAN ABEID

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
390
Reaction score
385

KURA YA MAONI YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA!!!

TUACHE MASIHALA!!! HIZI IBARA 285, 286, 287 NA 288! ZIMEKAAJE IWAPO KATIBA HIYO ITAPITA KWENYE KURA YA MAONI???

Je! JK na wenzake kuendelea kula bata kwa mrija hadi 2019???

ZINGATIA:

IKIPITA KATIBA INAYOPENDEKEZWA LAZIMA IWE KATIKA KIPINDI CHA MPITO CHA MIAKA MINNE: HEBU ZISOME HIZI IBARA KWA KUTULIA!!! TAHADHARI USIKURUPUKEEEEE!! TULIZA AKILI, IKIBIDI MSHIRIKISHE NA MWENZAKO!!! :sad:
attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • katiba.jpg
    katiba.jpg
    143.3 KB · Views: 167
  • Ibara 285 1.jpg
    Ibara 285 1.jpg
    127.5 KB · Views: 371
  • Ibara 285 11.jpg
    Ibara 285 11.jpg
    251.3 KB · Views: 368
  • Ibara 288.jpg
    Ibara 288.jpg
    59.6 KB · Views: 350
Sintaelewa, lakini sina shaka kwamba it is evil, has kwa vile mwndishi wake yule wa havard ana satanic intelligence.
 
Wee urifikiri haraka za kupitisha katiba hiyo ni za nini? Mungu tu amewapiga upofu hata mipango yao imeenda ndivyo sivyo.
 
Safi kabisa!!! Labda sasa tutaelewana!!!! Jk mpaka 2019!!!! Safi sana!!!! Shilingi ifike kabisa 5000! Itafika mahala tutaelewana tu!!!!!!
 
KURA YA MAONI YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA!!!

TUACHE MASIHALA!!! HIZI IBARA 285, 286, 287 NA 288! ZIMEKAAJE IWAPO KATIBA HIYO ITAPITA KWENYE KURA YA MAONI???

Je! JK na wenzake kuendelea kula bata kwa mrija hadi 2019???

ZINGATIA:

IKIPITA KATIBA INAYOPENDEKEZWA LAZIMA IWE KATIKA KIPINDI CHA MPITO CHA MIAKA MINNE: HEBU ZISOME HIZI IBARA KWA KUTULIA!!! TAHADHARI USIKURUPUKEEEEE!! TULIZA AKILI, IKIBIDI MSHIRIKISHE NA MWENZAKO!!! :sad:

kwanza mkuu tusaidie inayoonyesha kipindi cha mpito ni miaka minne, ndio tuunganishe dots...maana wengine hata hilo kava la katiba pendekezi ndio naliona kwenye thread yako
 
kipindi cha mpito ni kama ilivyoainishwa ndani ya sheria ya mabadiliko ya katiba!!! Kama sikosei ni miaka minne,

lakini hebu tuangalie na ndani ya rasimu ya tume ya mabadiliko ya katiba, iliyoongozwa na jaji joseph sinde warioba, waliwekaje ibara hiyo?? Nimeattach!!! Isome tafadhali katika ibara ya 260, 261 na 262 ndani ya rasimu.RASIMU.jpgWARIOBA.jpg

aendelee tu maana huku kwetu wachina bado hawajafika!!
 
Sintaelewa, lakini sina shaka kwamba it is evil, has kwa vile mwndishi wake yule wa havard ana satanic intelligence.

Kwani hujaelewa nini hapo?unahitaji usomewe au unahitaji nini?Baada ya kura ya maoni hujui nini kinafuata kwa mujibu wa sheria?katika mfumo wa upataji wa katiba unafikiri baada ya kura inaanza kutumika tu???? Ha ha ha nenda kasome tena usikurupuke kutuletea copy zako wakati tunazo!
 
Hujui unachangia nini uko unayumbayumba tu fuatilia mchakato wa jambo hili na sheria inayoguide jambo hili hutakurupuka kujibu!

Ungeweza kuchangia hoja moja kwa moja wewe unayejua unayoita mchakato kisheria badala ya kuattack watu usiojua wanachomaanisha....sio lazima wote tufanane kimawazo!
 
kipindi cha mpito ni kama ilivyoainishwa ndani ya sheria ya mabadiliko ya katiba!!! Kama sikosei ni miaka minne,

lakini hebu tuangalie na ndani ya rasimu ya tume ya mabadiliko ya katiba, iliyoongozwa na jaji joseph sinde warioba, waliwekaje ibara hiyo?? Nimeattach!!! Isome tafadhali katika ibara ya 260, 261 na 262 ndani ya rasimu.View attachment 248063View attachment 248064

Wewe acha kurukaruka hiyo Rasimu unapeleka wapi wewe sasa hivi tuna Katiba inayopendekezwa ndo itakayopigiwa kura hiyo mtaani wanafungia maandazi haina kazi muda wake kwishney!!
 
naanza kupata wasiwasi na hivi vifungu, ukilinganisha mwandishi wa Katiba pendekezwa alikuwa Nyoka mwenye Makengeza
 
Sintaelewa, lakini sina shaka kwamba it is evil, has kwa vile mwndishi wake yule wa havard ana satanic intelligence.

Haya ndo madhara ya Kusoma kitu kama unaimba mashairi ya Bulicheka,wala hapa hatuhitaji elimu ya chuo kikuu kuelewa na huu unaofanyika hapa ni upotoshaji wa makusudi wa kushindwa kuelewa!

View attachment 248309

SEHEMU YA SITA YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA INAWEKA WAZI KUANZA KUTUMIKA KWA KATIBA MPYA

Ibara ya 293.- (1) Muda wa mpito utakuwa muda wote kuanzaia tarehe ya kuanza kutumika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 2014 hadi kupita miaka 4 baada ya kuanza kutumika kwa katiba hii, Hii ni kuelewa tu lazima kipindi cha mpito kiwepo na huo ndo utaratibu kisheria acheni kukurupuka,

kifungu cha Pili (2) cha Ibara hiyo kinasema Bunge ambalo ndio wawakilishi wa wananchi linaweza, kwa azimio litakaloungwa mkono na theluthi mbili ya wabunge wote, Kuongeza muda wa mpito uliotajwa katika Ibara ndogo ya 1 kwa kipindi kisichozidi miaka 2 ili kukamilisha mambo ya mpito yatakayokuwa hayajafanyika au kukamilika, na hii naomba ieleweke Bunge litafanya kazi yake hapa hii ni kwa mujibu wa sheria ,kwenye uundaji wa Katiba hakuna ubabaishaji vipindi hivyo lazima viwepo!!

KATIKA KIPINDI HICHO CHA MPITO MAMBO YAFUATAYO YATAFANYIKA.

Ibara ya 294. (a) Kurekebisha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984 ili kuwiana na masharti ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 2014.
(b) Kutunga na kurekebisha sheria mbalimbali za Jamhuri ya Muungano, sheria ambazo si za Muungano zinazohusu Tanzania Bara na Sheria za Zanzibar ili kuwiana na mashari ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 2014,

Jambo hili hamlioni? Au mnadhani Baada ya kupigiwa kura immediate inaanza kutumika???? Hata mtoto hazaliwi akatembea kuna mambo ya msingi anapitia ili aweze kutembea, hivi na hili mnahitaji shule ya aina gani????

Haya kifungu C kinaeleza kuanzishwa kwa mahaka ya juu!

Kifungu D ni Kuundwa kwa Tume Na Taasisi nyingine za Kikatiba zilizoanishwa kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 2014 na Kifungu E kinaelezea kufanyika kwa kazi ya uteuzi katika nafasi za madaraka kwa taratibu zilizoainishwa kwenye katiba hiyo.[/COLOR]

kifungu F ni kufanyika maandalizi ya mambo yote muhimu kwa ajiali ya utekelezajia bara wa masharti ya kikaktiba yaliyomo kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniaya mwaka 20014.

IBARA YA 295 . Kifungu cha 1 kinaeleza kuwa Kwa madhumuni ya utekelezaji wa masharti ya sura hii Rais kupitia hati ya uteuzi atateua kamati ya utekelezajia wa Katiba katika muda wa mpito.Kifungu cha 2 kinasema kuwa majukumu ya Kamati ya Utekelezaji wa Katiba yatakua kama yalivyoanishwa katika hati ya uteuzi.

IBARA YA 296 inaweka wazi kuwa baada ya kumalizika kwa muda wa mpito, masharti ya sura ya 9 yatakoma na hayatakuwa na nguvu ya kisheria.

YAANGALIE MASHARTI HAYO YATAKAYOKOMA YA SURA YA 19 AMBAYO NDO MTOA HOJA PASIPO KUELEWA AU KWA MAKUSUDI AMEAMUA KUPOTOSHA SOMA IBARA ALIZOZITAJA NA MIMI NAMUONGEZEA NYINGINE KUANZIA YA 282 , 283 , 284 ,285 na kuendelea kwenye sura yote yatakoma.

MTOA MADA UNGEKUWA NA MUDA WA KUSOMA VIZURI NA KUELEWA UNGEKUWA NA HOJA NYINGINE NA SIO HII YA UWEPO WA KIPINDI CHA MPITO AMBAYO UMEIPOTOSHA BILA KUJUA MAMBO YATAKAYOFANYIKA KATIKA KIPINDI HICHO, PIA UKUMBUKE LAZIMA NCHI IENDELEE KUONGOZWA KWA MUJIBU WA SHERIA.
 
Ibara ya 293.- (1) Muda wa mpito utakuwa muda wote kuanzia tarehe ya kuanza kutumika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 2014 hadi kupita miaka 4 baada ya kuanza kutumika kwa katiba hii, Hii ni kuelewa tu lazima kipindi cha mpito kiwepo na huo ndo utaratibu kisheria acheni kukurupuka,

kifungu cha Pili (2) cha Ibara hiyo kinasema Bunge ambalo ndio wawakilishi wa wananchi linaweza, kwa azimio litakaloungwa mkono na theluthi mbili ya wabunge wote, Kuongeza muda wa mpito uliotajwa katika Ibara ndogo ya 1 kwa kipindi kisichozidi miaka 2 ili kukamilisha mambo ya mpito yatakayokuwa hayajafanyika au kukamilika, na hii naomba ieleweke Bunge litafanya kazi yake hapa hii ni kwa mujibu wa sheria ,kwenye uundaji wa Katiba hakuna ubabaishaji kipindi hicho lazima kiwepo!!

Back
Top Bottom