Ibara ya 15:1 na 2

Mzee, hatimaye nimefikia swali lako:

Mwanakijiji, to what degree, if any, was Nyerere's involvement in the purpoted manipulation of the 1995 Zanzibar presidential vote. Because if he did influence it then that and that alone tarnishes his whole persona of a man of high intergrity.

Now, it is good you said "purpoted manipulation of the 1995 Zanzibar presidential election". Binafsi siamini (na ninatumia neno siamini very strictly) kuwa Nyerere mwenyewe alishiriki kwenye hiyo "purpoted manipulation" ya Uchaguzi wa Rais.

However, nikiri kuwa suala la Zanzibar lilikuwa linamgusa sana Mwalimu na tena kwa passion. Kati ya vitu ambavyo alitaka kuhakikisha vinasalia hata baada ya yeye kuondoka madarakani au kufa ni kuwa muungano huo unadumu.

Hivyo, siyo suala la uchaguzi wa Zanzibar tu lakini hata suala la hoja ya Tanganyika aliingalia vivyo hivyo. Naamini Nyerere hakufurahia jinsi mambo yalivyoendeshwa na hasa jinsi uchaguzi ulivyoturn out.

Kwa mwalimu alitaka CCM ishinde lakini matokeo ya ushindi ule (na nimesema hapo nyuma) bila ya shaka yalimfanya Nyerere afikirie mara ya pili kwanini alitaka CCM ishinde. Na ndio sababu kama kiongozi yeyote anayefanya self assessment akaona kuondoa mgogoro ni bora wakae chini na kuunda serikali ya mseto. Aliona ukweli mmoja ambao wengine wamechelewa kuuona kuwa Zanzibar itaendelea kugawanyika na itachukua muda mrefu kwa kiongozi wa chama chochote kushindwa asilimia zaidi ya 55.

Sasa, ni jinsi gani Mwalimu alishiriki, binafsi sijui with hard facts ukiondoa maneno ya mitaani au ya watu wengine. Sitajaribu kuspeculate bila kuwa ushahidi wa upande mmoja au mwingine.

Lakini jambo la pili katika swali lako kuwa:
Because if he did influence it then that and that alone tarnishes his whole persona of a man of high intergrity.

Hapana, siasa is a game of influence and influencing an election or something of that nature is part of politics that is why you have Bill Clinton rooting for his wife na wanasiasa wengine ambao wanaamini wana ujiko. It is all part of politics. Na kufanya hivyo haihusiani na intergrity ya mtu kwani ni sehemu ya siasa.

Wengi wetu hapa tunashiriki kuinfluence serikali kwa namna moja au nyingine and I don't think it diminishes our intergrity by doing so.

Lakini zaidi ya yote, mtu haukuhumiwi kwa uamuzi mmoja au kwa influence yake ya kisiasa. Mtu huukumiwa kwa ujumlisho wa kazi zake na maisha yake yote hadi dakika ya mwisho. HIvyo kusema kuwa that alone tarnishes "his whole persona of a man of high intergrity" ni hyperbole of the first kind.
 

Yes...politics is a game of influence but influencing an election before the votes are cast is one thing and influencing the outcome of that election (after people have voted) to go one way or another, is another. Nyerere is accused by some of the latter in which, if true, it does in a way diminish his intergrity. Do you agree?
 
Separate but equal...hiyo haikuwa kwenye katiba? Kama ilikuwepo kwenye katiba basi hiyo katiba ilikuwa mbofu lakini uchumi wa nchi (kwa ujumla) uliweza kushamiri.

mzee nilisema wapi kuwa Katiba nzuri inahusiana na uchumi mzuri?

Unaposema maendeleo unamaanisha nini sasa?

Wewe ndio umesema huwezi kuwa na katiba mbovu na ukategemea maendeleo...niambie basi hayo maendeleo kwako ni yapi....


Hahahahaha

Good job Nyani Ngabu

Mzee Mwanakijiji, kwani huo uchumi wa nchi kukua si ndio maendeleao yenyewe hayo ya nchi na wananchi watafaidika kwa hili baba, sasa hii yako "Maendeleao ya watu, sio vitu" ulimaanisha watu waendelee vipi, KIUMRI ama nini? Mwenyewe ukaweka na msisitizo, "hapa watu namaanisha jamii nzima", haya we.
 

Of course, lazima kama wanachama wakubali kwamba wao ni CCM na kuahidi kulinda Chama chao na sera zote kwa madhumuni ya Taifa. Usitake kupindisha habari Mwanakijiji,All in all, lengo ni maslahi ya Taifa kupitia Chama period! Unaelewa sana basi tu. BTW, huo mgongano ni upi unaouongelea unaosababishwa na hiki kipengele?

Kasheshe,

Yaani wewe unataka kusema kuwa kuuza migodi ya madini kwa bei ya karanga na spin? Unataka kusema kuwa wizi wa BoT ni spin? Kweli unaona kuwa mikataba kama Richmonduli ni spin?

Migodi ya madini, sijui BOT inaingiliana vipi na Ibara ya 15:1 na 2?


Nakataa. Jukumu la mwana CCM libaki vile vile, kukiendeleza Chama kwa manufaa ya Taifa, unless utuambie wewe kwa uelewa wako maslahi ya CCM ni yapi na maslahi ya Taifa ni yapi na wapi umeona yamegongana.

BTW, Mzee Mwanakijiji unakuja lini Bongo kutuletea mabadiliko ya Kisiasa na kiuchumi?
 
Lizy.... kujibu swali lako la mwisho ni kuwa "wana musa na manabii, kama hawatawasikia hao hata mtu atoke mbinguni hawatamsikiliza"..

Yaani tunakiendeleza chama kwa manufaa ya Taifa? kwa hiyo tusipokiendeleza chama hatuwezi kuendeleza Taifa? Sasa naelewa kwanini Kikwete juzi kule Musoma alisema kuchangia CCM ni kuchangia amani Tanzania..

Tumekubaliana kuwa CCM kwanza halafu Taifa.
 
It is all about Chama first, then the nation!

From Butiama on Richmond issue....

 
I get goose bumps when I read old posts like this....we've come a long way!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…