Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
(2) The Electoral Commission may, for any reason which appears
to be sufficient, require that the votes in the constituencies, or in any
particular constituency, shall be recounted.
(3) Subject to sub-section (2), the Commission shall, after adding
together all the respective totals certified to it in accordance with subsection
(1), declare the result of Presidential election.
Bado vipo.Sheria hii ya Uchaguzi ya 1984 Sijapata muda wa kufuatilia kwa karibu maana najua kuna mabadiliko kadhaa ya Katiba yalifanyika, sijui kama sheria ya Uchaguzi ilivyo sasa inasomeka ikiwa na vifungu hivyo.
Maana nikikumbuka Katiba inakataza tu kuyapinga matokeo baada ya Rais kutangazwa, kabla ya hapo haikatazwi. Na kwa vile sheria inatoa a wide room ya argument "for any reason".. nadhani kesi ya Geita na sehemu nyingine inatosha kusababisha kutaka a court injunction ya kuwazuia tume kumtangaza mshindi hadi hoja za Chadema kuhusu uchaguzi. Mimi naamini tatizo kubwa liko ndani ya Tume.
Dawa ni hiyo kuizuia Tume kutangaza mshindi wa uraisi ingawaje huko nyuma kwenye kesi za utata wa Uraisi Mahakama kuu ilikwisha kuweka msimamo kuwa kama kuna ushahidi wa mazingira ya kumtangaza mgombea uraisi haykuwatendea haki wagombea wengine Mahakama Kuu inayo mamlaka ya kuingilia kwa kuchunguza na kusawazisha dosari kama zipo.........Re: Ibara ya 35 ya Sheria ya Uchaguzi ilifutwa lini - ingeweza kulisaidia TAIFA sasa
Maana nikikumbuka Katiba inakataza tu kuyapinga matokeo baada ya Rais kutangazwa, kabla ya hapo haikatazwi. Na kwa vile sheria inatoa a wide room ya argument "for any reason".. nadhani kesi ya Geita na sehemu nyingine inatosha kusababisha kutaka a court injunction ya kuwazuia tume kumtangaza mshindi hadi hoja za Chadema kuhusu uchaguzi. Mimi naamini tatizo kubwa liko ndani ya Tume.
Sheria hii ya Uchaguzi ya 1984 Sehemu ya Kipengele chake ilikuwa inasema:
Sijapata muda wa kufuatilia kwa karibu maana najua kuna mabadiliko kadhaa ya Katiba yalifanyika, sijui kama sheria ya Uchaguzi ilivyo sasa inasomeka ikiwa na vifungu hivyo.

sheria hii ya uchaguzi ya 1984 sehemu ya kipengele chake ilikuwa inasema:
Sijapata muda wa kufuatilia kwa karibu maana najua kuna mabadiliko kadhaa ya katiba yalifanyika, sijui kama sheria ya uchaguzi ilivyo sasa inasomeka ikiwa na vifungu hivyo.
Sheria hii ya Uchaguzi ya 1984 Sehemu ya Kipengele chake ilikuwa inasema:
Sijapata muda wa kufuatilia kwa karibu maana najua kuna mabadiliko kadhaa ya Katiba yalifanyika, sijui kama sheria ya Uchaguzi ilivyo sasa inasomeka ikiwa na vifungu hivyo.
Kwanini Dr. Slaa asitake tume iagize wasimamizi wote wa uchaguzi wa majimbo kuweka hadharani mara moja fomu zote za matokeo ya Ubunge na Urais ili ziweze kupitiwa hata baada ya kuapishwa Rais ili kuweka historia na rekodi sawasawa?
Maana nikikumbuka Katiba inakataza tu kuyapinga matokeo baada ya Rais kutangazwa, kabla ya hapo haikatazwi. Na kwa vile sheria inatoa a wide room ya argument "for any reason".. nadhani kesi ya Geita na sehemu nyingine inatosha kusababisha kutaka a court injunction ya kuwazuia tume kumtangaza mshindi hadi hoja za Chadema kuhusu uchaguzi. Mimi naamini tatizo kubwa liko ndani ya Tume.
Juzi juzi ulikuwa unaapa kwa mbingu na nchi kuwa 'hakuna uwezekano wa kuiba kura' ... leo umebadilika?Sheria hii ya Uchaguzi ya 1984 Sehemu ya Kipengele chake ilikuwa inasema:
Sijapata muda wa kufuatilia kwa karibu maana najua kuna mabadiliko kadhaa ya Katiba yalifanyika, sijui kama sheria ya Uchaguzi ilivyo sasa inasomeka ikiwa na vifungu hivyo.
Hili swali ni gumu nina hakika mwanakijiji hawezi kulijibuJuzi juzi ulikuwa unaapa kwa mbingu na nchi kuwa 'hakuna uwezekano wa kuiba kura' ... leo umebadilika?