Ibara ya 44 ya Rasimu ya Pili: Haki na wajibu wa Kijana (huu ni zaidi ya usahaulifu)

Paul Makonda

Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
97
Reaction score
186
Mimi ni Kijana, ninayoyazungumza,ninayoyafanya yana reflect uhalisia huo. Hivyo kwa wito wa Ujana najikuta nashawishika sana kuongeza umakini katika masuala yahusuyo vijana hasa kwenye Katiba.

Ni ajabu lakini kweli kuwa sehemu inayotaja juu ya Haki na Wajibu wa Vijana katika Rasimu yote ni Ibara ya 44 tu, tena inataja kwa ujumla wake bila hata kuweka ibara ndogo ama vipengele vya ufafanuzi.

Ibara hiyo inasema;

"..kila kijana ana haki na wajibu wa kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo ya Jamhuri ya Muungano pamoja na jamii kwa ujumla, na kwa mantiki hiyo, Serikali ya Jamhuri ya Muungano, serikali za nchi washirika na jamii zitahakikisha kuwa vijana wanawekewa mazingira mazuri ya kuwa "Raia Wema" na kupatiwa fursa za kushiriki kikamilifu katika nyanja za kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni..."

Sikuwa nategemea huu unaweza ukawa ndio mwisho wa maelezo ya Rasimu kuhusu Vijana. Nilitegemea nitakuta vipengele vinavyobainisha namna vijana watakavyonufaika na rasilimali, namna ambavyo sheria ndogo na taratibu baguzi ktk upatikanaji wa ajira na fursa zitakavyobainishwa kikatiba ili kumaliza kabisa matatizo ya Vijana.

Nilidhani Rasimu itaweka bayana Uanzishwaji wa Baraza La Vijana la Taifa ili kiwe chombo cha kikatiba cha Vijana.

Nikitumia fursa na nafasi yangu kama mbunge wa bunge maalum la Katiba zipo hoja kuu (3) tatu ambazo nitazisimamia ziingie kwenye Katiba kwa manufaa na mustakabal mwema wa Vijana bila kujali tofauti ya itikadi, dini ama kabila.

Na nakaribisha mawazo na michango ya fikra ktk hoja zihusuzo Vijana.
 
.....rasimu imewatambua vijana so kama tuna srikali makini si ya ccm basi sheria na sera mbali mbali zitatungwa mkuu

hili ndilo tatizo la vijana.,wakati wote wanawaza kiitikadi...!!! lakini sio mbaya taratibu tutafika tu.
 
Pmakonda mimi nakupongeza angalau kwa kutambua kuwa vijana wenzako wanawategemea nyie wachache mliobahatika kupata nafasi hiyo mnawatendea haki.

Mimi ningependa kufahamu hizo hoja zako tatu kwanza kabla sijaweka maoni yangu, bila kufanya hivyo inawezekana tukarudia hoja ambazo unazo na hivyo kujikuta hujapata kitu kipya ulichokitarajia na ambacho kingeweza kusaidia sana kuiboresha hiyo ibara ya 44 ambayo kimsingi iko very shallow.

Na kwa kuongezea haja ya kujua hoja zako tatu basi tunaweza kuzichangia kwa kuziboresha zaidi na ukatoka na hoja nzito ambazo siku utakapoziwasilisha basi zitakuwa zimeshiba na zitamshawishi kila mjumbe kuungana nawe na kuzipitiosha kuwa katika katiba yetu tunayoitarajia.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni Kijana, ninayoyazungumza,ninayoyafanya yana reflect uhalisia huo. Hivyo kwa wito wa Ujana najikuta nashawishika sana kuongeza umakini katika masuala yahusuyo vijana hasa kwenye Katiba.

Ni ajabu lakini kweli kuwa sehemu inayotaja juu ya Haki na Wajibu wa Vijana katika Rasimu yote ni Ibara ya 44 tu, tena inataja kwa ujumla wake bila hata kuweka ibara ndogo ama vipengele vya ufafanuzi.

Ibara hiyo inasema;

"..kila kijana ana haki na wajibu wa kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo ya Jamhuri ya Muungano pamoja na jamii kwa ujumla, na kwa mantiki hiyo, Serikali ya Jamhuri ya Muungano, serikali za nchi washirika na jamii zitahakikisha kuwa vijana wanawekewa mazingira mazuri ya kuwa "Raia Wema" na kupatiwa fursa za kushiriki kikamilifu katika nyanja za kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni..."

Sikuwa nategemea huu unaweza ukawa ndio mwisho wa maelezo ya Rasimu kuhusu Vijana. Nilitegemea nitakuta vipengele vinavyobainisha namna vijana watakavyonufaika na rasilimali, namna ambavyo sheria ndogo na taratibu baguzi ktk upatikanaji wa ajira na fursa zitakavyobainishwa kikatiba ili kumaliza kabisa matatizo ya Vijana.

Nilidhani Rasimu itaweka bayana Uanzishwaji wa Baraza La Vijana la Taifa ili kiwe chombo cha kikatiba cha Vijana.

Nikitumia fursa na nafasi yangu kama mbunge wa bunge maalum la Katiba zipo hoja kuu (3) tatu ambazo nitazisimamia ziingie kwenye Katiba kwa manufaa na mustakabal mwema wa Vijana bila kujali tofauti ya itikadi, dini ama kabila.

Na nakaribisha mawazo na michango ya fikra ktk hoja zihusuzo Vijana.
Hakuna hoja muhimu kama ya ongezeko la posho kwa wabunge wa bunge maalum la katiba ambayo tayari umeanza kuisimamia vyema
 
hili ndilo tatizo la vijana.,wakati wote wanawaza kiitikadi...!!! lakini sio mbaya taratibu tutafika tu.

Miaka ya 50 ya Uhuru vijana wana keti chini shule nyingi ilipo Ikulu Dar es salaam hazina madawati wala vitabu.
 
Back
Top Bottom